kwikwii labda rais wa msikiti na si rais wa tanzania!
Mkuu ungekosa ushabiki, ungeandika hivi LIPUMBA NYOTA YA CUF INAYOELEKEA KUZIMA' hapo ningekuelewa, cuf bila huruma ya masheikh haiendi!
...utajumlisha na zile alizotoa kuokoa jahazi la kutetea IMANI?naomba kujua kama tukijumlisha kura zote alizopata lipumba tangu mwaka 1995, kisha tukalinganisha na zile alizopata slaa mwaka 2010, nani atakuwa nakura nyingi,
Kwani kuna topic yoyote kwenye jukwaa la siasa isiyozungumzia mtu? Sema tu mtu mwenyewe aliyetajwa humpendi, anakutia kiche fu chefu.
Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kuchagua kiongozi kwa sifa zake, Lipumba hana mpinzani kati ya wapinzani wa bongo.
hata awe kasoma vipi rais mdini hatumchagui hata kwa dawa
Ukisema ukweli unaniumiza sana si uchanganye kidogo na uongo,nikijua mapema nitaondoka kimyakimyaMkuu ungekosa ushabiki, ungeandika hivi LIPUMBA NYOTA YA CUF INAYOELEKEA KUZIMA' hapo ningekuelewa, cuf bila huruma ya masheikh haiendi!
...utajumlisha na zile alizotoa kuokoa jahazi la kutetea imani?
Wapi uislam umesema hivyo!!?
Mliberali namba moja!rais wako 2015
tunapoteza mda kuongelea watu...
kwa hiyo unaahidi kutompa PADRI WILBROD SLAA kura yako! karibu sana ndugu mzalendohata awe kasoma vipi rais mdini hatumchagui hata kwa dawa
Tumegundua. Lipumba huwa hagombei, yeye kazi yake ni kuokoa jahazi
yaani kwa usanii kweli ni jembe! Ulimuona alivyo kuwa anawazuga kule msikitini? Macho makavu, daah! Angetupia basi kaayat kamoja ka kuzugia! Kabakia kurusha mate! tena nahisi ana mdadi angejambishwa pale angeruka kwa mdadi and wote the like!lipumba ni jembe