Huyu ndiye Lipumba nyota inayong’aa CUF

Chintu

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
5,009
2,000
naomba kujua kama tukijumlisha kura zote alizopata lipumba tangu mwaka 1995, kisha tukalinganisha na zile alizopata slaa mwaka 2010, nani atakuwa nakura nyingi,
...utajumlisha na zile alizotoa kuokoa jahazi la kutetea IMANI?
 

joda

Member
Apr 7, 2012
45
95
sitaki kuamini ninachokisoma, unamsifia ni huyuhuyu Lipumba mdini? au kuna mwingine? please ingawa una uhuru wa maoni ila naona this is too much, kwangu mimi ni mdini, mchochezi, siwezi kuwa na kiongozi wa nchi anatema sumu kama vile kwa watu, nitahama nchi
 

mtotowamjini

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
4,531
0
Kwani kuna topic yoyote kwenye jukwaa la siasa isiyozungumzia mtu? Sema tu mtu mwenyewe aliyetajwa humpendi, anakutia kiche fu chefu.

Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kuchagua kiongozi kwa sifa zake, Lipumba hana mpinzani kati ya wapinzani wa bongo.
hata awe kasoma vipi rais mdini hatumchagui hata kwa dawa
 

steyn

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
366
225
Mkuu ungekosa ushabiki, ungeandika hivi LIPUMBA NYOTA YA CUF INAYOELEKEA KUZIMA' hapo ningekuelewa, cuf bila huruma ya masheikh haiendi!
Ukisema ukweli unaniumiza sana si uchanganye kidogo na uongo,nikijua mapema nitaondoka kimyakimya
 

Mkumba Vana

JF-Expert Member
May 10, 2013
417
195
Jamani nitafakari sana mada ya mleta uzi huu! Ingawa wanaopinga wanapinga kutokana aidha na maudhui yaliyo ndani ya uzi au kivingine!!

Hapa binafsi nimetafakari na kukubaliana na kichwa cha uzi!! Tupende tusipende Lipumba ni nyota ing'aayo ndani narudia NDANI ya CUF na siyo nje ya CUF, full stop!!
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
14,226
2,000
Nasikia pia ni dume la mbegu japo mbegu zake anazimwaga bafuni............
 

bantulile

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,573
1,250
Anaokoaje jahazi? Kuhudhuria hafla ya kuapishwa Raisi mteule ndiyo kuokoa jahazi. Hivi alipohudhuria ile hafla aliongeza tija gani? Iwapo asingehudhuria matokeo yasingetangazwa? Dr. Slaa hakuhudhuria alimzuia tembo kunywa maji?.
Anajipendekeza bure kwa Raisi na Waislamu wenzake. Kama ingalikuwa ni kweli alikuwa na nia ya kumsaidia Raisi Kikwete angalitangaza kujiondoa kwenye uchaguzi na kutangaza wazi kura zake apewe Kikwete, nje ya hapo sio kweli.
Tumegundua. Lipumba huwa hagombei, yeye kazi yake ni kuokoa jahazi
 

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
19,504
2,000
lipumba ni jembe
yaani kwa usanii kweli ni jembe! Ulimuona alivyo kuwa anawazuga kule msikitini? Macho makavu, daah! Angetupia basi kaayat kamoja ka kuzugia! Kabakia kurusha mate! tena nahisi ana mdadi angejambishwa pale angeruka kwa mdadi and wote the like!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom