IshaLubuva
JF-Expert Member
- Dec 4, 2008
- 250
- 12
mke wangu pole sana, ni mpira tu hata kama Barca watatolewa, Mour hatari sana,
lakini wewe vumilia tu, ila nikija home leo usisite kunichemshia maji ya kuoga na kuninunulia juisi ya kunywa wakati naangalia game
KWe kwe kwe lakini Mourinho is having a big mountain to climb, kama akiingia na mentality kwamba the game is over imekula kwake lakini akijua kwamba the game is on its second half hapo Barca kwishinei
tatizo ni kwamba inter pia watashambulia na watapa goli sio kwamba wataenda kupaki bus golini kwao tu na kusubiri barcelona wawashambulie.Msiojua soka mnaangalia mechi hii kwa jicho la Morinho, Barca at Camp Nou is another team that is capable of thrashing Inter and go through let's wait and see mtaniambia kesho
FL1 ,endelea kujipa moyo maana usipofanya hivyo ukija kushuhudia kichapo usiku unaweza usimpe mzee chakula cha usiku kwa hasira!