Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,062
- 144,498
Nimekuelewa vizuri sana mkuu.Salary Slip, unajua kwa nini ndege Bundi anatembea usiku na hana ushirika na ndege wenzake?
Ni kwa kuwa anawaza kinyume na hana akili za kuchanganyika na ndege wengine.
Umenielewa!
Salary Slip, unajua kwa nini ndege Bundi anatembea usiku na hana ushirika na ndege wenzake?
Ni kwa kuwa anawaza kinyume na hana akili za kuchanganyika na ndege wengine.
Umenielewa!
Lovely!Kupitia mtandao wa twitter,hivi ndivyo anaandika Robert Malley aliekuwa msaidizi maalamu wa Raisi mstaafu wa Marekani,Barrack Obama.
Fascinating meeting with Tanzanian opposition figure Tundu Lissu
For someone who was shot over a dozen times, remarkable optimism, resilience and courage !
Ndio ninachompendea Lissu wabaya wake wakimuona hivyo Roho zinawavimba halafu wanameza vidonge vyao vya BP kama karanga.Namuona Lisu akiwa na furaha kabisa kama hajapitia aliyoyapitia.
Japkuwa lissu sio Yesu na hawezi kuwa Yesi na Hawezi kuitwa Yesu lkn anayopitia yanafanana fanana na Yesu wa nazaretiKupitia mtandao wa twitter,hivi ndivyo anaandika Robert Malley aliekuwa msaidizi maalamu wa Raisi mstaafu wa Marekani,Barrack Obama.
Fascinating meeting with Tanzanian opposition figure Tundu Lissu
For someone who was shot over a dozen times, remarkable optimism, resilience and courage !
Hapo inaelekea walikuwa wanajadili jinsi ya kuimarisha "upinde wa mvua" kwenye chama chake atakapo rejeaKupitia mtandao wa twitter,hivi ndivyo anaandika Robert Malley aliekuwa msaidizi maalamu wa Raisi mstaafu wa Marekani,Barrack Obama.
Fascinating meeting with Tanzanian opposition figure Tundu Lissu
For someone who was shot over a dozen times, remarkable optimism, resilience and courage !
Hahahahahahah wafuasi wa chadema wana matatizo katika mfumo wao wa KUFIKIRI. Wamedanganywa kuwa harudi kisa daktari wake hajamruhusu lkn hawahoji mbona Anazidi kuzurula huko Ulaya?Ok, bila shaka ataongeza wafuasi wengine milioni 80 kama wale aliowapata baada ya kuhojiwa had talk ya BBC, na bila shaka sasa watafikia milion 160 na watamsaidia kupiga kura mwaka 2020
Go Lisu goo..
Kingine pia bila shaka atapewa bus lingine kama lile tulioneshwa na wafuasi wake hapa mtandaoni
Go Lisu gooo
Acha kulinajisi jina la Yesu.Japkuwa lissu sio Yesu na hawezi kuwa Yesi na Hawezi kuitwa Yesu lkn anayopitia yanafanana fanana na Yesu wa nazareti
Lissu The GreatestKupitia mtandao wa twitter,hivi ndivyo anaandika Robert Malley aliekuwa msaidizi maalamu wa Raisi mstaafu wa Marekani,Barrack Obama.
Fascinating meeting with Tanzanian opposition figure Tundu Lissu
For someone who was shot over a dozen times, remarkable optimism, resilience and courage !
Hawa watu dhamiri zao zilishakufa Siku nyingiOk, bila shaka ataongeza wafuasi wengine milioni 80 kama wale aliowapata baada ya kuhojiwa had talk ya BBC, na bila shaka sasa watafikia milion 160 na watamsaidia kupiga kura mwaka 2020
Go Lisu goo..
Kingine pia bila shaka atapewa bus lingine kama lile tulioneshwa na wafuasi wake hapa mtandaoni
Go Lisu gooo
Takbiiiiiiiiiiiiiiiiirrrrrrrrrr !!!Japkuwa lissu sio Yesu na hawezi kuwa Yesi na Hawezi kuitwa Yesu lkn anayopitia yanafanana fanana na Yesu wa nazareti
Ondoa shaka , shetani hajawahi kumshinda Mungu..yule jamaa akiwa waziri alikuwa anamwambia Lissu kuwa anamuunga mkono alivyokuwa akitetea rasilimali zetu.
..alikuwa anaogopa kujitokeza na kupoteza nafasi na kula yake.
..sasa leo amepata nafasi anamuita Tundu Lissu msaliti, na kumtumia watu wamuee kinyama utadhani ni mnyama wa porini.