Huyu ndio Mungu wao

Haya bana....ndo uwendawazimu wenyewe huo
 
Kashaenda kwa Allah kuthibitisha uungu wake
 
Na ni SISI DINI YETU ILIYOIDHINISHA MASHOGA KUOANA,,NA WANAWAKE KUSAGANA....TENA MBELE YA KANISA TUNALOLIITA TAKATIFU...NDOA INAPITA....sasa nani MFIRAJI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini zilizoletwa na meli na majahazi Afrika zinaleta shida sana. Kama zilivyofanya kazi enzi hizo za kutugawa Waafrika bado zinaendelea hadi leo.
Tunafarakana kwa sababu ya dini zao na waliozileta wanaona raha tunavyo hangaika nazo.
Uislam na ukristo vyote vinalenga kuabudu mizimu yaani watu waliokufa yesu na muhamad bora uabudu kwenye milima ya babu zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…