Huyu ndio Mungu wao

damtanzania

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
752
Reaction score
1,465
Hali zenu wanajf,

Katika pitapita zangu, nimekutana na hii:

Ana patikana eneo la Kongoni wilayani Likuyani hukoo Kenya.

Yeye ni Mungu mtu na watu huenda kumwabudu yeye kila Jumamosi.

Picha hizo ni watu wakiwa kwenye gwaride kabla ya sala
Mtu akiomba kwa unyekevu mbele za Mungu.

Mungu mwenyewe.
 

Attachments

  • 1410546240573.jpg
    20.2 KB · Views: 1,382
  • 1410546327215.jpg
    13.3 KB · Views: 1,214
  • 1410546404966.jpg
    15.4 KB · Views: 1,202
Kwani mungu Yesu na huyo mungu wa Kenya wana tofauti gani? Au mnadharau kwa kuwa huyo ni mweusi? Aanhaaaa nimeshajuwa, mmemkubali yule mungu Yesu kwa sababu yule ni mzunguuu!!!
 
Mungu gani huyo kachokaaa! Waungu wote wanaokunya siwakubali.
 
Mbona wehuwAtupu

Mungu ana rasta tena zenye shanga. Na kwenye hicho chumba chake wana paita patakatifu mbinguni
 

Attachments

  • 1410585639234.jpg
    15.7 KB · Views: 547
  • 1410585656974.jpg
    13.7 KB · Views: 507
Mungu gani huyo kachokaaa! Waungu wote wanaokunya siwakubali.

Tena wengi wa wanao mwabudu ni wazee. Gwaride linasimamiwa na wake zake. Mmoja wa waumini zake wanasema hawawezi kutoa sadaka na maombi kwa mungu wasio mjua, so ni bora wao wanao muomba mungu anaeonekana na kumjua
 

Attachments

  • 1410585885060.jpg
    22.8 KB · Views: 481
  • 1410585914233.jpg
    20.7 KB · Views: 463
Huku waarabu na wamisionari hawakufika
 
Kwani mungu Yesu na huyo mungu wa Kenya wana tofauti gani? Au mnadharau kwa kuwa huyo ni mweusi? Aanhaaaa nimeshajuwa, mmemkubali yule mungu Yesu kwa sababu yule ni mzunguuu!!!

mbona hayo yapo c unaona.hata ww unaamin kuhusu mudy aliyeoa watoto wa miaka6
 
Miungu wapo,ndio yeye mwenyewe Muumba anakataza tusiabudu miungu wengine.
 
kutoka 20:5 Usivisujudie wala
kuvitumikia; kwa kuwa mimi,
Bwana, Mungu wako, ni Mungu
mwenye wivu; nawapatiliza
wana maovu ya baba zao, hata
kizazi cha tatu na cha nne cha
wanichukiao,
 
kazi kwelikweli, anaenda chooni kama wao. anasikia njaa, analala. kazi iko siku akifa .
 
kutoka 20:5 Usivisujudie wala
kuvitumikia; kwa kuwa mimi,
Bwana, Mungu wako, ni Mungu
mwenye wivu; nawapatiliza
wana maovu ya baba zao, hata
kizazi cha tatu na cha nne cha
wanichukiao,

Hakika umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…