Huyu ndio mpenzi nilie nae


Ni pm namba yako mrembo mtoto mashallah mahabuba masharat ......yote hayo yameshalipiwa tayari. Eeehhhhh mtoto mtoto nakumbia utafaudu hadi rahaaaaa mwenyewe utajionea!

Ahsante sana mrembo !
 
sometimes wanawake wenyewe wanachangia, unakuta mtu upo serious kwenye mahusiano yy anazingua sasa kibao kikigeuka anaanza kumtafuta mchawi
 
Achana nae huyo NITAFUTE Mimi unaonekana unasifa ninazo zihitaji nahisi hakika tutaendana.....!

Ila swali moja ameshawahi kukugegeda mara ngapi?

 
hao wanaume una wa 'french kiss' ni kina nani?
na hapo unapo wa french kiss ndo una prove nini?
lengo lako ni nini?


Fantastic Questions....!

Angejib haya maswali kwanza tungejua msimamo wake na kumshauri ipasavyo!
 

Kama unaweza kuishi bila yeye sasa umesubili nini poteza tu, hapo hupendwi ni kama mchepuko tu... Angalia upande wa pili anayekupenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…