Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,536
- 3,887
Wakati mwengine Ni busara kuficha usukule wako sio kila mtu ajue wewe Ni msukule una haribu Uzi ungefungua Uzi wako tuBongo Jiwe ndio kila kitu, Dr. Eng. Prof, CPA JAJI NK
Halafu kichwani hamna kituBongo Jiwe ndio kila kitu, Dr. Eng. Prof, CPA JAJI NK
Hiyo umesema wewe mkuu!Halafu kichwani hamna kitu
We jamaa ni mpuuzi sana, hivi unajielewa??Wakati mwengine Ni busara kuficha usukule wako sio kila mtu ajue wewe Ni msukule una haribu Uzi ungefungua Uzi wako tu
Mjinga kweli nikisema msukule sijakosea si unaona umeshindwa kuficha upumbavu wako Nani kakuulia jiwe ni Nani? Au ulivyo Ni qoute Kuna swali nimeuliza jiwe ni Nani?We jamaa ni mpuuzi sana, hivi unajielewa??
Jiwe ni nani??
Jibu hili swali kama akili japo zimesalia kwenye hilo fuvu
Jf kwa Ma beef [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati wote kinanuka
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hukumu ziko.kwenye vitabu vya sheria au alikuwa akizitunga tu kichwani kwake?Hakika,amejitahidi.
Umeshasoma sheria za Amerika zote au unajitia tu ujuhaHizo hukumu ziko.kwenye vitabu vya sheria au alikuwa akizitunga tu kichwani kwake?
Mimi namuona huyo hakimu mjinga tu sababu hizo hukumu.haziko kwenye vitabu vya sheria popote duniani
AiseeeeTusubiri tu jiwe naye atapata hukumu yake siku moja mtamuonea huruma.
Umezoea kuona Jiwe akijitungia kila kitu ndio unafikiri kila sehemu wanafanya hivyo?Hizo hukumu ziko.kwenye vitabu vya sheria au alikuwa akizitunga tu kichwani kwake?
Mimi namuona huyo hakimu mjinga tu sababu hizo hukumu.haziko kwenye vitabu vya sheria popote duniani