Huyu ndie mchaga origino

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
wakuu imetokea ngarenaro jana mchana mchaga alidumbukia kisimani sasa akaja jamaa moja mpare na kamba ndefu kumsaidia kwa kumtupia kamba kisimani ili amvute juu,maongezi yakawa hivi,JAMAA MPARE:"hallow kimario pokea kamba nikutoe nje ya kisima" MCHAGA:"asante sana chaliii yangu hila nikuulize hiyo kamba umenunua duka gani?"JAMAA MPARE"nimenunua pale dukani kwa msukuma" MCHAGA "Yeuwiii babangu si ungenunua pale dukani kwangu kamba zangu ni nzuri aiseee,umekosea sana babanguuu" mchaga badala ya kujali usalama wake atolewe kisimani alianza kufikiria biashara ya dukani kwake, ilibidi jamaa amtoe nje kwa kamba ile ile. chezea pesa weye
 
Ccm nawalani kwa nguvu zote mumemharibu huyu mtoto kwa elimu yenu ya magumashi sitaki kuamini kama alizaliwa mjinga kiasi hiki
Ameen
 
Naomba maana ya Chit Chat jamani maana watu wamekuja juu!
 
Ngarenaro ipi mbele ya daraja au kambi ya fisi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…