Huyu nae ni muwekezaji eh?

Isijekuwa huyo ni mwenye kampuni nae yupo kwenye kupiga mzigo, sio kama mabosi wengine wao vitambi tu hawajui kusogeza hata meza, kila kitu wanaagiza tu
 
anawekeza mkuu acheni bwana pesa imekuwa ngumu duniani usipoitafuta haiji
 
Ndio...amewekeza kwenye sekta ya ubebaji
 
Huyo si muwekezaji ni mtekelezaji...
 
Hahahahahaha! Wabongo changamkieni fursa.
Nyie kaeni vijiweni,so karibuni mtauzwa na nyie!
 
Mtaka cha mvunguni sharti ainame lakini sisi wabongo tunaishi na familia kula bure na kulala bure na mama anakupa hela za matumizi je raha si raha hapo tena ukatoke jasho la ninina kuchafuka na vumbi la cement
 

Na nyie mbona mnaenda kuzoa taka nchi zao? Mnaenda kuwaogesha wazee?

Cc: Le Bigshow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…