Nikisema mimi naonekana nasema uongo haya na huyu!
Sasa kwani nabiiishaaaa!
Hii kitu ilikuwepo na itaendelea kuwepo, tubishe, tuhutubie na hata tukibeba mabango. Kwanza hakuna mtu atakayejitokeza na kusema anatumia; so to me naona ni wastage of time!
Unachopaswa ni kuomba usimpate mke mshirikina, full stop!
Limbwata +++
Nawaza kuanzisha NGO ya kuelimisha uma kuachana na hii kitu...
Kaunga, umeiita kazi ya awareness ... ukimaanisha..?Aisee itakilipa hiyo, u know why? Kazi yako hiyo ya awareness haitaisha so ni permanent employment tu! Ujanja itakuwa kutafuta donors tu! Coz the problem is there to stay!
mie siamini uchawi unafanya kazi,kama yupo mchawi humu aniloge nife....:shock:
Erotica ... and that its your nature ..cant help that ... simtulie na kujiamni tu!!wadada tupo desperate, mtu anahangaika hadi yale ambayo hayajui anataka kujaribu.