Huyu nae kaulizia namba ya mganga! Kina dada acheni mapenzi ya kishirikina... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu nae kaulizia namba ya mganga! Kina dada acheni mapenzi ya kishirikina...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Apr 30, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kuna demu kaniambia kuwa shostito wake amemuulizia kama ana namba ya mganga wa kienyeki ili "akamshughulikie" jamaa yake aliyemtenda juzi. Sijui anataka kummaliza au kumlainisha.
  Siku hizi (may be na siku za nyuma) kumekuwa na kina dada hasa ameneo ya mofisini (pengine na kwingineko) wengi ambao inasemekana wanatumia ndumba kuwalainisha na kuwakamata wanaume.
  Inasemwa kuwa wapo hata wanawake wanaoenda kwa waganga kutafuta dawa za kuwaloga waume zao!
  Masekretari na wahudumu wa kike wengi siku hizi wanajihusisha kimapenzi na mabosi wao, na wengi wao inasemekana wanatumia ndumba kuwanasa na kuwafanya wawe wanatoa ela kirahisi
  Tunaweza kulichukulia kirahisi hili suala lakini kiukweli lina madhara makubwa
  Siku hizi imesababisha hata kuomba tundi kwa mtu mliyezoeana au mnafanya ofisi moja watu wanaogopa kufanyiziwa!!!
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Nikisema mimi naonekana nasema uongo haya na huyu!
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Sasa kwani nabiiishaaaa!
  Hii kitu ilikuwepo na itaendelea kuwepo, tubishe, tuhutubie na hata tukibeba mabango. Kwanza hakuna mtu atakayejitokeza na kusema anatumia; so to me naona ni wastage of time!

  Unachopaswa ni kuomba usimpate mke mshirikina, full stop!
   
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  uchawi wa penzi ni mapenzi(copy and paste popote)!!
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Kaunga nakubaliana na wewe,ila mimi hata nikipata mke mshirikina atakubali mziki tu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  limbwata au?
   
 7. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nawaza kuanzisha NGO ya kuelimisha uma kuachana na hii kitu...
   
 8. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Limbwata +++
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Watu walishindwa kuthibitisha siku moja kama hii kitu ipo!
   
 10. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Aisee itakilipa hiyo, u know why? Kazi yako hiyo ya awareness haitaisha so ni permanent employment tu! Ujanja itakuwa kutafuta donors tu! Coz the problem is there to stay!
   
 11. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  We, we, we....

  nani alibisha?
   
 12. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Mi naamini litaisha bana...
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Eeh, ukibahatika kujua, utamfanyaje? Si ajabu umeshakuwa bushoke. LOL
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kaunga, umeiita kazi ya awareness ... ukimaanisha..?
   
 15. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mie siamini uchawi unafanya kazi,kama yupo mchawi humu aniloge nife....:shock:
   
 16. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wadada tupo desperate, mtu anahangaika hadi yale ambayo hayajui anataka kujaribu.
   
 17. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135

  Hah hah dont want to loose you bwana... usjaribu hiyo!!
   
 18. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Erotica ... and that its your nature ..cant help that ... simtulie na kujiamni tu!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Tena naskia kuna mganga Chamanzi sijui? Yaani ukimpata huyo shurti uopoe mzungu hata kama wa tandika. Namtafuta walau pesa yangu fupi aniunganishie kwa wachina wa keko tukaishi kiwandani.
   
 20. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Unadhani wanaenda huko wote hawajatulia? au kua hawajiamini? I think not.
   
Loading...