Nimetokea kuwa na mahusiano na huyu mwanamke lakini ameonekana akiwa na wivu kupindukia akipiga simu kama ujapokea ni matatizo hata kama ulikuwa umetoka kidogo ukaiacha analamika mpaka anataka kulia , amekuwa ni wa kulalamika tu kwa nini simu yake sipokei, ukimwahidi kitu ukashindwa kukitimiza analalamika kweli sina muda mrefu nae ni kama mwezi sasa,lakini ananitia wasiwasi kuendelea nae. naombeni ushauri je, huyu mwanamke anaweza kuwa mzuri baadae kweli.
wanawake wa namna hiyo huwa wanapenda kweli sio utani na wanajali sana waume zao ila kasoro yao ni kwamba hawawez kuvumilia shida especially ya kifedha na upendo wao unakuwa ni too much mpaka unajuta kwa nn ulitongoza!!!!!!
Daah yaan anakupenda kichiz yaan, mm mwenyewe natafuta kama huyo yaan ful malovedove daaah
Nimetokea kuwa na mahusiano na huyu mwanamke lakini ameonekana akiwa na wivu kupindukia akipiga simu kama ujapokea ni matatizo hata kama ulikuwa umetoka kidogo ukaiacha analamika mpaka anataka kulia , amekuwa ni wa kulalamika tu kwa nini simu yake sipokei, ukimwahidi kitu ukashindwa kukitimiza analalamika kweli sina muda mrefu nae ni kama mwezi sasa,lakini ananitia wasiwasi kuendelea nae. naombeni ushauri je, huyu mwanamke anaweza kuwa mzuri baadae kweli.
Sasa si umwambie kwamba upendi tabia hiyo kwahiyo abadilike.ikishindikana sepa.
Yaani ni rahisi sanaaaaaaa. Ila sasa hadi uwe na huo muda, saa ingine ukute huyu mdau anamchukulia kama kwa kuzugia tu si unajua vijana.
duh huyo wako ss yupo kama boy wangu..yan hao wangekua pamoja wangepatana kwel..mana ye mda wote anataka nikae na cm ..had choon..nkidelay kujibu text au cal yake anaanzisha valangat hlo..
na mimi hiyo inanikuta my number one imekua tatizo
umepata mwanamke wa ukweli,yaani anakuonea wivu??ujue basi anakupenda kweli,ila usiwe unamuahidi vitu ambavyo huwezi kutekeleza
Nimetokea kuwa na mahusiano na huyu mwanamke lakini ameonekana akiwa na wivu kupindukia akipiga simu kama ujapokea ni matatizo hata kama ulikuwa umetoka kidogo ukaiacha analamika mpaka anataka kulia , amekuwa ni wa kulalamika tu kwa nini simu yake sipokei, ukimwahidi kitu ukashindwa kukitimiza analalamika kweli sina muda mrefu nae ni kama mwezi sasa,lakini ananitia wasiwasi kuendelea nae. naombeni ushauri je, huyu mwanamke anaweza kuwa mzuri baadae kweli.
Hata sasa huyo mwanamke ni mzuri sana tu. Ninachokiona huyo mwanamke yuko committed ila wewe ndio unazuga, yaani uko mguu ndani mguu nje.
Kinachotakiwa mkae chini muongelee aina ya mahusiano yenu. Inawezekana mwenzako anakuona mchumba, wewe unamuona ni rafiki tu wakupita.
Kama huyo mwanamke yupo humu na anasoma huu uzi, namshauri na yeye aishi kama vile mpita njia (aegeshe), asione kwamba amepata a man of her life.
huyo Mwanamke ni mfupi? kama ndio bas niulize dawa yao