BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
kaa nae kama wiki bila kuachana nae hata kidogo....! mtakinaiana tu!
unanisema c ndiyo eeh! haya kuanzia leo mimi na wewe basi usinitafute!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:msela:
We na yeye basi Thubutu!!!!!!!!!
Uwe unapokea sim za mwenzio.....sio kuwa unalalamika tu na kutaka kulia.......
hahaha daaah!!! c ameamua kuja kunisema huku yani ndo nshabadili laini hivyoooo!:heh:
Mie mwanamke kama huyo ndo nampenda coz ni rahisi ku-manipulate her emotions. Mwanamke akiwa na wivu inapendeza.
ATTENTION ndio ugonjwa wake...Ushalijua hilo then ushapata suluhisho..Mpe attention ya kutosha...