Huyu mwanamke yukoje

Huyu mwanamke yukoje

Niambie Tu

Senior Member
Joined
May 29, 2022
Posts
198
Reaction score
363
Habari kabla sijalala ngoja nije na hii.

Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.

Nina mke ambaye muda wote kisirani.

Ananuna nuna muda wote.

Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.

Wanaume Tunapitia mengi halfu yeye anaona kawaida.

Hana mawasiliano na ndugu zangu Wala majirani wanaomzunguka.

Aisee ntakuja kumuacha tu
Ni
 
Huwo mtihani haswa, bora talaka kuliko kukaa na mtu mwenye kisirani cha kununa, halafu ni maisha yako yanendelea kutumika kwa hali hiyo. Muachie nyumba nenda machimboni huko.
 
Sasa wewe nae mtu ananuna nuna wewe unapata stress gani ?
Akinuna tafta kitu cha kumuondolea mnuno mpe hata pesa..
Wewe ukikutana na mwanamke chiriku au wale wana maneno machafu si utakufa kabisaa.
Kuna wakati mwanamke unampuuza tu nao wanatupuuza pia na ndoa zinasonga mbele sasa wewe unataka soft soft serous life sio.
Na UTAKUFA kweli.
 
Pole

Kwanza umekaa nae miaka mingapi, mna watoto.. Maana kuna mengine yanakujaga na ku hitaji msaada kisaikolojia.

Kaa nae chini ujue sababu haswaa, natumaini hauchepuki na amekudakua.

Au labda mchoyoooo
 
Huwo mtihani haswa, bora talaka kuliko kukaa na mtu mwenye kisirani cha kununa, halafu ni maisha yako yanendelea kutumika kwa hali hiyo. Muachie nyumba nenda machimboni huko.
Huyu napgia chini ngoja niweke vitu sawa.

Nimekaa nae muda mrefu Kwa sababu ya watoto.
 
Pole

Kwanza umekaa nae miaka mingapi, mna watoto.. Maana kuna mengine yanakujaga na ku hitaji msaada kisaikolojia.

Kaa nae chini ujue sababu haswaa, natumaini hauchepuki na amekudakua.

Au labda mchoyoooo
Tuna mtoto mmoja Nina miaka mitatu.

Yupo hivi Kwa kipindi kirefu sio mtu mkaa ukafurahia nae maisha .
Kuna muda amekuwa akinikasirikia maana Mimi ni mtu wa watu so uwa ninafurahia maisha na watu na kucheka hata Kwa simu.
Ila yeye ukiwa nae ndani ananuna nuna muda wote.
Wiki hii nimetoka kugombana nae baada ya kuwanunia majirani ninapokaa nao ambao wamekuwa msaada muda mwingi hata mtoto akizidiwa usiku.
Kiukweli Mungu anitie nguvu ila kuishi na kumbe mwanamke nadhani sio kalama ya mtu yoyote hapa Duniani.
 
Habari kabla sijalala ngoja nije na hii.

Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.

Nina mke ambaye muda wote kisirani.

Ananuna nuna muda wote.

Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.

Wanaume Tunapitia mengi halfu yeye anaona kawaida.

Hana mawasiliano na ndugu zangu Wala majirani wanaomzunguka.

Aisee ntakuja kumuacha tu
Ni
Pole sana mkuu.
Kwenye harusi yenu hawakupiga ule wimbo wa hiloo ni changuo lako, chaguo lako...
 
Tuna mtoto mmoja Nina miaka mitatu.

Yupo hivi Kwa kipindi kirefu sio mtu mkaa ukafurahia nae maisha .
Kuna muda amekuwa akinikasirikia maana Mimi ni mtu wa watu so uwa ninafurahia maisha na watu na kucheka hata Kwa simu.
Ila yeye ukiwa nae ndani ananuna nuna muda wote.
Wiki hii nimetoka kugombana nae baada ya kuwanunia majirani ninapokaa nao ambao wamekuwa msaada muda mwingi hata mtoto akizidiwa usiku.
Kiukweli Mungu anitie nguvu ila kuishi na kumbe mwanamke nadhani sio kalama ya mtu yoyote hapa Duniani.

Pole
Wanawake wote hawapo hivyo, kipindi kirefu baada ya kuzaa au kabla?
 
Habari kabla sijalala ngoja nije na hii.

Now nimeelewa kwanini wanaume tunakufa mapema.

Nina mke ambaye muda wote kisirani.

Ananuna nuna muda wote.

Ni mtu ninayeishi nae kwenye nyumba mpaka najiuliza huyu ni mke au adui yangu.

Wanaume Tunapitia mengi halfu yeye anaona kawaida.

Hana mawasiliano na ndugu zangu Wala majirani wanaomzunguka.

Aisee ntakuja kumuacha tu
Ni
Wakati wa uchumba hali ilikuwaje ?
 
Kununa Nina kwa mwanamke ni kutaka mashine ,Joto limezidi mwilini linapelekea kununa , uwe unapiga mashine mara kwa mara atapoa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom