Huyo ambae umeshindwa kumuelewa msimamo wake ndio unamuona ni mke? ambae hata kumtumia nauli unaogopa kwamba inaweza kupotea bure? Kupata mke kwako itakuwa ngumu maana bado unamuwaza sana huyo sungura..mtoe kwenye akili yako na mipango yako. Anza upya..look around utapata mtui sahihi na bora zaidi.
Hii ni id yangu mpya ya 4 mm jf tokea 2009 kama ujui nishapigwa bun zaidi ya 3 ww jf 2012 unajitia mjuaji acha izo ww hii ni id yangu ya 4 sasa kama ujui..