Askutishe mtu ndugu yangu... Ni kweli wasichana especially tusiokuwa wavivu mchana kupokea cm ni bahat na cbu labda ucku...yaani unavoamka asubuhi ukaiacha simu kitandan au kabatini ndo basi mpaka umalize shughuli za nje urudi ndani ndo uishike tena waweza kuta mixd calk ila uliacha chakula jikon hivo ukaiacha tu. . Ila wale watoto mayai wavivu vivu muda wote yuko na cm hata akiwa jikon ukumpigia atapokea tu muda wote