Huyu mwanamke simuelewi

Nashukuru sana wakuu kwa ushauri wenu nitaufanyie kazi na nimefikia maamuzi bola niachane naye naona kama napoteza muda kuwa na mtu ambaye hana upendo na mimi na nikiendelea kuwa nae ataniletea matatizo na jambo linaweza kuniathiri sana katika shughuli zangu binafsi na nimeona bola nianzishe maisha yangu peke yangu na naamini bila yeye sito shindwa maisha.
 

haupo peke ako hapo yani ukiona msichana anajibu hivyo ujue mpo zaidi ako na wote anawapenda so anashindwa kuamua
 

NDO UANAUME HUO MKUU SAFI.....lakini kumbuka mwanaume habadiliki mdomoni anabadilika ndani ya shuka
 
dah, yaani wewe jamaa ushapewa jibu huelewi. Kusoma hujui na picha je?

Mwenzako ndio hivyo tena amekuambia kistaarabu kwamba huna chako. Kafanya hivyo kwa vitendo (kwa kutopokea simu na kutokupigia simu) na pia kwa maneno (kwa kukujibu yupo njiapanda)

kwangu mimi huyu mdada ni mstaarabu sana lakini wewe ndio huelewi wala husomeki. Kama unadhani unampenda labda kaa chini tena tafakari kwa nini hujawa chagua la kwanza kwake , je una mapungufu yepi. Kama yanarekebisha basi jitahidi

otherwise tafuta ustaarabu mwingine kiongozi
 
Yuko njia panda maana anawaalinganisha na bado anaona wote mnapungua kwenye mzani kwa upande mmoja na wote anawahitaji kwa upande mwingine. Hajafahamu kama ni yupi hasa anayemfaa maana hamsomeki vizuri. Hata hivyo, mwenzako anakuzidi points kidogo sana kwa ratio ya 52:48 hivi. Haoni future kila anapowatazama. Ni km anaogopa kusitisha mahusiano na wewe kwa kuhofia huko anakotaka kwenda hakuna guarantee ya wazi. Hata hivyo, ni vema ukae nae na umsaidie kuamua kistaarbu kuwa unamsaidia aende njia ipi kwa kujitoa mapema. Itakusaidia japo utaamia kwa muda!Usipofanya hivyo tarajia maumivu zaidi bila shaka!
 

ndomana nimeamua nijiweke pembeni mkuu
 

nimeona asomeki nimeamua kumuacha kabla ajaniacha
 
heee...mweee! hapo penye red patamu! ukipiga simu anapochelewa kupokea au hapokei kabisa basi fahamu kuwa wakati huo huwa yuko na jamaa 6X6 na wako kazini so don't disturb...men at work! umeelewa? :bowl:

nimekupata mkuu.
 
Ondoka mapema au kama vipi mtumie kingono ila usiwekeze moyo wako kimawazo utakesha.
Shauriro ukiona dalili kama hizo jaribu kutafuta hifadhi kwingine coz karibia unaenda kuumizwa.

asante mkuu nimefikia uamuzi wa kumuacha
 

asante nimekupata mkuu
 
Kaka chapa lapa, utazoea kuishi bila yeye.
 
Piga chini mwanawane kwani mwanamke yuko peke yake? Hata kama umempenda kiasi gani,ni bora ukaumia mara moja kuliko kila siku uko juu juu tu huna amani na inaonekana hana upendo kabisa na wewe na inawezekana kuna mahali moyo wako upo na sio kwako.Hawa viumbe waache kama walivyo.Jumping jumping with no position ndivyo walivyo wengi wao.
 
I think she might be a GOLD DIGGER , so don let ur Time to Waste U , Leave Her Alone, It seems she dont really love you, So u better to take ur time before she hurts you,.MWANAUME BIDHAA ADIMU sasa..,....HAHAHahahahahahah
 
Yani hamna kitu nakichukia kwenye mapenzi kama mtu kuanza kukuonyesha ana option nyingine tofauti na wewe, Hebu jiulize hata akikuchagua wewe unahisi uta-enjoy kitu hapo regardless ya kiasi gani unampenda?

Achana nae, jibu hilo huwa hawapewi wanaopendwa ashakupa evidence kuwa anacheat. Kikubwa kwenye mapenzi ni amani ya moyo.

To me: Any attempt of cheating kwa namna yeyote ile ndio mwisho wa kila kitu bila kujali consequences. Huo ni mtizamo wangu.
 
Bwana vitu vingine sio vya kuomba ashauri otherwise kama ulikuwa unaongeza idadi ya thread.....kila kitu kipo wazi,watu kama nyie mkishauriwa ndo mnaenda kumwambia eti jamaa wamenishauri nikuache....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…