Nilikuwa na mahusiano na mdada age 26 nilipoanza nae mahusiano ilikuwa siri lkn hakunaga penzi la siri badae ikaja fahamika mtaani, maneno yalikuwa mengi mno mno lakini huwezi amini yule dada kwa maneno yale alikuja kwangu akanambia kwa haya maneno yao mm naamua kuishi kbsa naww hata kama sikuwa tyr kuishi na mtu kwa sasa na hii alinambia mapema kuna mambo yake anaweka sawa, sasa nashangaa ww kwa manen ndy mnaanchana