kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 952
[emoji2][emoji2][emoji2]Wee,sema kweli[emoji15][emoji848]
πtukukuchokaπ[emoji2][emoji2][emoji2]
πππtukukuchokaπ
π€£π€Έπ€Έπ€Έ Atakuwa hajaelewa eti?ππ
Ameamua kukaza fuvu hahaaπ€£π€Έπ€Έπ€Έ Atakuwa hajaelewa eti?
Maana hakuna namnaSasa mpendwa
Ameamua kukaza fuvu hahaa
Kwa maelezo yako huyo demu unamwelewa ndio maana uliwahi kumtongoza ila yeye akachomoaKuna demu mmoja ni kama RFK angu sana sasa amekuwa akimpondea jamaake kwangu Mara jamaa hajui mapenzi Mara aniombe ushauri kuhusu mapenzi yake lakini pia kama nikiwa nimempost demu yoyote status WhatsApp anakuwa kama hapendi japo nilishawahi kumtongozaga akanikatlia akasema ana MTU nikamuelewa sasa naona ukaribu wake kwangu umekuwa mkubwa sana nifanyaje?
Nitumie mbinu IPI kumnasa
Mwambie huyoKwa maelezo yako huyo demu unamwelewa ndio maana uliwahi kumtongoza ila yeye akachomoa
Nikuulize swali moja mleta uzi: Huyo demu una mpango naye gani je, ni kusuuza rungu tu na kusepa au umfanye wako mazima?
NB: Kuwa makini na mademu za watu mabwana zao wanawagharamia utakuja kuchezea vitasa
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Ameamua kukaza fuvu hahaa
Ameishakuambia ana mtu wake achana nae.
πππππKashakufanya shosti wake ila mbunye hataki kukuachia sababu anakuona ndezi utashangaa tu siku kaenda kuliwa na muhuni mwengine kakuacha.
Mkatae haraka sana, inauma sana demu akukazie halafu anajiweka close na wewe ili umfariji fariji wakati hana mpango wa kukupa uloto, af siku unashangaa ghafla kakukataa kumbe kashaanza kumegwa na mtu mwengine.
Kama unataka kumla tumia hard way. Mchane makavu kuwa itikadi zake za kishamba uzielewi kama vipi akate mazoea. We sio mama terry!
Mzee baba huwa una comments za kibabe sana. Wahuni tunakuelewaKashakufanya shosti wake ila mbunye hataki kukuachia sababu anakuona ndezi utashangaa tu siku kaenda kuliwa na muhuni mwengine kakuacha.
Mkatae haraka sana, inauma sana demu akukazie halafu anajiweka close na wewe ili umfariji fariji wakati hana mpango wa kukupa uloto, af siku unashangaa ghafla kakukataa kumbe kashaanza kumegwa na mtu mwengine.
Kama unataka kumla tumia hard way. Mchane makavu kuwa itikadi zake za kishamba uzielewi kama vipi akate mazoea. We sio mama terry!
UmeonaeeMwambie huyo
Mama Terry ππ napendaga comments zako.Kashakufanya shosti wake ila mbunye hataki kukuachia sababu anakuona ndezi utashangaa tu siku kaenda kuliwa na muhuni mwengine kakuacha.