Jamaa mweupe hivi. Kuna wakati tulisoma gazetini amekamatwa kwa tuhuma za rushwa. Sijui kesi ilikoyeyukia. Nami namkubali kwa Utangazaji wake wa Mpira japo Staili yake ya kupeana Presha tu. Maana utashangaa anavyotangaza mpira kwa kasi sana kuanzia mwanzo hadi mwisho.