Huyu msichana bwana

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
567
Huyu msichana yani nipo nae kwa miezi 4 sasa tatizo ana penda kununa na kukasika kwa vitu vidogo yani mpaka nakereka yani ana weza kununa kwa kitu ambacho akina hata msingi tatizo kinacho nishinda mimi huwa sipendi kubembeleza kabisa.

Sasa jana kanuna kisa eti alitaka nimtumie picha yangu mimi nikamwambia niko bize alafu nilikuwa niko nje ya mji sindio aka nuna bwana mimi nika delete namba yake,

Sasa nataka nione atanuna mpaka lini nione huo mchezo wake utaishia wapi toka jana mpaka leo haja tuma msg na mimi ndio nimedelete namba yake ilinisi fikirie hata kumtafuta, nadhani kwa hii staili atajifunza kitu.

Aah! Kubembeleza kila muda nae unachoka et, afu wao hufikiria kwamba wa msingi saana , ! Kuna demu flani hivi cjawah hata kulala nae, ila kila nikimpigia simu anataka aongee na mm tu, hataki cha kusikia nasalimiana na mtu au cha nini , akisikia tu , anakata simu nikaulizia asili ya kabila yao kumbe huaga wanahasira , warangi , mmh wawe makini na maamuzi yao aiseeee
 
Ata mimi dem dem wangu ameniambia nimnunulie mapela kwa baati mbaya skua na ela. eti amekasilika ata nikipita nje kwao anaingiaga ndani. nilijalibu kumtuma lafiki yake lakini amekataa kwenda. uyo dem hana simu coz babaake alimkaza eti atakua hasomi.
 
ha ha ha we mzee dah!!
 
Ni tabia ya vile vinavyojiuza kwa maana vinatandikwa kila siku hivyo vinataka msivijue kuwa ni vi mama save ukimuona yuko hivyo akili kichwani wala usisumbuke.
 
Mwandiko wako unaupa ubongo wakati mgumu sana kusoma ulichoandika. Ujue tu kwamba mapenzi ni kazi kama kazi zingine. Mapenzi ni kujitolea. Ukiamua kuyaingia ni "Full Time Job".
 
Ata mimi dem dem wangu ameniambia nimnunulie mapela kwa baati mbaya skua na ela. eti amekasilika ata nikipita nje kwao anaingiaga ndani. nilijalibu kumtuma lafiki yake lakini amekataa kwenda. uyo dem hana simu coz babaake alimkaza eti atakua hasomi.

.....alafu uyo dem namjua eti! Anapendaga kukaa kibalazani kwao na mama ake ni mlombo, naskia eti ulimpa mimba akaicholopoa ili aende shule babe ake asikalike aalibu mtu sula.....
 
miezi mi4 afu eti nmefuta namba, kama ulikua unawacliana nae kisawa sawa am sure namba unaijua hahah!!! kausha tu ila kama ulipenda na namba ipo kchwan my friend hahah shida!!!!
 
makaj

hata wa kanda maalumu wanajua kubembeleza, sembuse wewe wa bagamoyo....hujapenda wewe sema unatafuta kanjia kwa kumuacha mwenzio, hebu kambeleze mwenzio uko alaaa
 
Last edited by a moderator:

hivi huko shuleni mnasomea ujinga?
cc: FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…