Tony Yeyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 733
- 567
Huyu msichana yani nipo nae kwa miezi 4 sasa tatizo ana penda kununa na kukasika kwa vitu vidogo yani mpaka nakereka yani ana weza kununa kwa kitu ambacho akina hata msingi tatizo kinacho nishinda mimi huwa sipendi kubembeleza kabisa.
Sasa jana kanuna kisa eti alitaka nimtumie picha yangu mimi nikamwambia niko bize alafu nilikuwa niko nje ya mji sindio aka nuna bwana mimi nika delete namba yake,
Sasa nataka nione atanuna mpaka lini nione huo mchezo wake utaishia wapi toka jana mpaka leo haja tuma msg na mimi ndio nimedelete namba yake ilinisi fikirie hata kumtafuta, nadhani kwa hii staili atajifunza kitu.