Huyu msichana anaitwa nani?

desiigner

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
519
Reaction score
230
Haka katoto kazuri kametokea kwenye video mpya ya darasa, Je anaitwa nan?




Update:
Ahsante kwa mchango wenu wadau wote na wazee wa kula kwa macho, nimefanikiwa kumpata instagram kwa account @naihuddah
Nilichingua huyu dada ana element za kina gigy money na amber lulu.



Hizi ni picha zake akiwa katika pozi kali na za kimahaba


Hapo chacha



My take: Tumpe ushauri kabla hajapotea huyu mtoto mzuri
 
Si unaona jina lake hapo [HASHTAG]#Hanscana[/HASHTAG]

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]......
 
Wazinzi utawajua tu chukua na namba yake kabisa
 
Wanawake ambao huwa wananyoa wanajiamini sana na huwa wazuri sana kisura. Tofauti na wale wawekao mzigo kichwani kwao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…