Huyu mrembo simuelewi....

Huyu mrembo simuelewi....
Ananipigia simu muda wa majeruhi kuanzia saa tano usiku na kuendelea tena kwa 'video call' huku akiwa kama alivyokuja duniani.Wakuu huyu mdada ana uzalendo kweli..kwa afya ya ndoa yangu?
Mkuu kwani unaumri gani?,swala kama hili umeshindwa kulitanbua mpaka umelileta humu?,leta basi vitu vinavyofikirisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ndio umeamua kunianika huku
Nmeamua kutengeneza account kwa ajili yako
 
Huyu mrembo simuelewi....
Ananipigia simu muda wa majeruhi kuanzia saa tano usiku na kuendelea tena kwa 'video call' huku akiwa kama alivyokuja duniani.Wakuu huyu mdada ana uzalendo kweli..kwa afya ya ndoa yangu?
Anakuona fala sana. Achana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…