Huyu mpangaji mwezetu tumfanye nini?

Huyu mpangaji mwezetu tumfanye nini?

TzComedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
890
Reaction score
700
Hakika kama ni vituko vya wapangaji basi kituko cha mpangaji huyu kimeshinda vituko vyote vya wapangaji, khaaa!!

Hiko hivi, huyu mpangaji mwenzetu ambae ni mwanaume na anamke na watoto, anakawaida ya kuamka usiku wa manane na kuanza kupiga chabo kwenye madirisha ya sisi wapangaji wenzie, hiyo 9, kumi ni pale siku nyingine wanapoamua kushirikiana yeye na mkewe kuufanya uo uchafu usiokubarika si tu kwetu sisi wapangaji wenzie bali hata kwa jamii nzima, jana walikuja dirishani kwangu mkewangu akaniambia usiwashitue niwakomeshe, mamaa alichukua maiki akaimbanayo kisha akaipeleka papuchi, basi mamaa akaanza miguno ya Nguruwe kwenye shamba la miwa, kha,ha,ha..hash.hhh!!!haa.hashii.., ghafla tunasikia mtu na mkewe wakigombana, baba Poul mboni unanizibia jamaniii..?
 
kuna watuhawagongi mpaka wagongwe au wakapige chabo,sasa unaaweza ukahisi wanapiga chabo kumbe ndio tiba wenzio wanafanya
 
Hakika kama ni vituko vya wapangaji basi kituko cha mpangaji huyu kimeshinda vituko vyote vya wapangaji, khaaa!!

Hiko hivi, huyu mpangaji mwenzetu ambae ni mwanaume na anamke na watoto, anakawaida ya kuamka usiku wa manane na kuanza kupiga chabo kwenye madirisha ya sisi wapangaji wenzie, hiyo 9, kumi ni pale siku nyingine wanapoamua kushirikiana yeye na mkewe kuufanya uo uchafu usiokubarika si tu kwetu sisi wapangaji wenzie bali hata kwa jamii nzima, jana walikuja dirishani kwangu mkewangu akaniambia usiwashitue niwakomeshe, mamaa alichukua maiki akaimbanayo kisha akaipeleka papuchi, basi mamaa akaanza miguno ya Nguruwe kwenye shamba la miwa, kha,ha,ha..hash.hhh!!!haa.hashii.., ghafla tunasikia mtu na mkewe wakigombana, baba Poul mboni unanizibia jamaniii..?
Noted!
 
mkuu hapo mwishoni sijakuelewa, unasema wife akaichukua maiki(dushe) akaimba nayo(akainyonya)., akaipeleka papuchi?? fafanua
 
Back
Top Bottom