Huyu mgombea anamuwakilisha nani?

Huyu mgombea anamuwakilisha nani?

Malindika

Member
Joined
May 26, 2014
Posts
46
Reaction score
15
Nimekutana hii video inamuonyesha dogo anashuka kama mgombea wa CCM kuchukua fomu. Inaonekana kama iko kiucheshi zaidi lakini ni kama vile wahusika wamelenga kufikisha aina fulani ya ujumbe kupitia huyu "dogo jembe". Anaefahamu nini kinaendelea atujuze tafadhali.

 
Last edited by a moderator:
Haha sio sitcom hii? Dogo kafanana na Mwigulu kila kitu isiwe ndo wanatufanyia kampeni hapa.
 
Nimekubali, "Wakikusanyika mazuzu na kuamua kufanya yao ya kizuzu hata wenye zao timamu watatamani kuiga". Si wajua waTZ ubunifu sifuri?????????????
 
nadhani ujumbe huu ni kwa yule aliyechoka na kungangani akizani ikulu ni mbinguni kiasi yuko tayari kufanya chochote ili aende ikulu a.k.a white a.
 
Back
Top Bottom