chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,281
- 25,658
Habari JF
Kuna demu mmoja nilkua nachati nae as a friend tuu hatujawahi kua na mahusiano ya mapenzi
Sasa juzi nikamtmia picha ya WiFi yake whatsap daaah skuamini alini kasirikia hatari na ameniblock whatsap,insta na Fb nikimtmia message ajibu nikatmia namba mpya nikampgia cm akamuambia mbona umeniblock kwe social network zote akanambia sikutegemea akakata cm
Mwenzake akanambia umemfanya nini J nikamuambia sijamfanya chochote akasema mbona mda wote analia na anataja tuu jina lako? Nkamuambia mm sijamfanya kitu akasema poa sasa najiiza ni kwa nini? Anafanya haya yote?
Wanawake bwna ni ngumu sana kuwaelewa
Je mm nimueleweje huyu mdada?
Sasa wewe kusoma hujui na kuangalia picha unashinda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] koromije imeleta shidaSasa mbona hakunambia?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nimeshaku unblock WhatsApp,insta na Facebook na sikulilii tena
Endelea na maisha yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeshaku unblock WhatsApp,insta na Facebook na sikulilii tena
Endelea na maisha yako
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimeshindwa kujizui jaman. Umenichekesha chaaa...WiFi mmhuu!! Mm sijaelewa kama ni ile ya Dada wa mme au ile ya internet
Ndio jf bibie hii full kuinjoi eetiii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nimeshindwa kujizui jaman. Umenichekesha chaaa...