Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,453
- 8,905
Keeeh yani nimrekodi ili iweje sasa.Bila kavideo ni umbea...........
Njoo bandarini na cv yako nikuweke kitengo cha makuli.Umesha-cover topic zote za Civics?
Huna uwezo wa kuniajiri dogo. Toka hapo kwa shemeji yakoNjoo bandarini na cv yako nikuweke kitengo cha makuli.
Basi uje nikuoe maana ni kama unataka nikupe mimba.Huna uwezo wa kuniajiri dogo. Toka hapo kwa shemeji yako
Nimeongeza kodi ili nimhonge huyu mtoto wa aiefuemu si vinginevyo mkuuSasa hivi mmeongeza kodi ya magari ili kufanya ukarabati wa hiyo bandari ina maana wawejezaji wao hawana mtaji wa kukarabati faida ya wao kupewa hiyo bandari ni ipi sasa...
Mimi ndio nikuoe ili nikutoe hapo kwa shemeji yako, nikikupachikia uwe unatoa hiyo milioBasi uje nikuoe maana ni kama unataka nikupe mimba.
Kama vip mpe mbuga ya Mikumi au ile ya Nyerere ndio akuelewe vizuri naona ponjoro wa kinondoni kachoka anatafuta gari la laki saba..Nimeongeza kodi ili nimhonge huyu mtoto wa aiefuemu si vinginevyo mkuu
Ponjoro kafulia vibaya mnooo 😂😂Kama vip mpe mbuga ya Mikumi au ile ya Nyerere ndio akuelewe vizuri naona ponjoro wa kinondoni kachoka anatafuta gari la laki saba..
boss, weka picha ya huyo binti basi ili waungwana tufanye tathmini.Uzalendo umenishinda namimi nimepata mdada wa aiefuemu, aloo hiyo miguno yake na mapozi mpaka natamani nimhonge bandari yangu nirudi kwetu Dubai na makobazi yangu tu.
Katoto kana sauti tamu, sio kachoyo ka smile, kapolee.
Funzo: Mdada ukitaka kumteka mtu bila kutumia nguvu wewe lia kimahaba mkuyenge ukiingia sio unatoa mimacho kama mtalii wa kizimkazi.
Njoo uolewe hapa mkuu nimeona wewe ni jobless uje nikuzalisheMimi ndio nikuoe ili nikutoe hapo kwa shemeji yako, nikikupachikia uwe unatoa hiyo milio
Ni chuoMkuu aeifm ni Nini mawimbi ya sauti y FM au🤔