Huyu mdada ana maana gani?

Hili nimeliona , huyo bibie kamsoma jamaa vizuri sana, ndio maana jamaa akijitahidi kukaza bibie anamtegeshea mapaja na jamaa anajaa anaondoka bila kudai Wala kula mzigo

Mwisho wa siku analalamika humu na makasiriko kwa washauri.
kumbe bs sawa..
 
Dada Jane, are you really serious? Kama jibu ni ndiyo, basi utakuwa umefanya jambo jema sana.

Nje ya mada" Uko na mtu au single?
 
Pimbi kweli wewe!Mbake!
 
Mi mwanamke akishanikataa huo ni uadui, hata nikute kapigwa roba nampita namsisitiza mpiga roba kaza mpaka ajinyee
 
Hii ni chai? Kwa nini usimuulize yeye mwenyewe na badala yake unatuuliza sisi hapa, watu ambao hata hatumjui huyu binti?
 
Umemkopesha mwanamke au umemmpa?
 
Hii ni chai? Kwa nini usimuulize yeye mwenyewe na badala yake unatuuliza sisi hapa, watu ambao hata hatumjui huyu binti?
aha kumbe watu wote wanaoleta changamoto zao za kmaisha hasa kmahusiano waktaka kupata maoni au ushauri wa wadau humu kumbe huwa mnawajua wahusika eeeh! Ila sawa asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…