Kibabe sana JaneUlimkopesha bei Gani ?
Weka namba hapa chini nikurudishie hela yako uache kwendakwenda hapo
Mwanamke mwenzangu huyo biashara imekuwa ngumu hela ya kukulipa Hana anataka akupe mzigo mmalizane
Kiufupi anataka kukupa sio kwamba kapenda ni shida
Sasa na clear Mimi on her behalf mambo yasiwe mengi
nilimpa 150,000 kama mtaji, vifaa vya biashara ya mgahawa viligharimu 120,000. Moja siwez weka namba yng hapa maana sjawai msumbua kumdai anaposema hela kaila, pili kwa usalama wng spo tyr kutoa namba hapa, tatu hiyo pesa kasaidie ndugu zako au familia yako achana na mambo ya watu ukzngatia sjasema ninamdai au kulalamikia fedha.Ulimkopesha bei Gani ?
Weka namba hapa chini nikurudishie hela yako uache kwendakwenda hapo
Mwanamke mwenzangu huyo biashara imekuwa ngumu hela ya kukulipa Hana anataka akupe mzigo mmalizane
Kiufupi anataka kukupa sio kwamba kapenda ni shida
Sasa na clear Mimi on her behalf mambo yasiwe mengi
Mhhh wakorinto 13 mpaka 10nilimpa 150,000 kama mtaji, vifaa vya biashara ya mgahawa viligharimu 120,000. Moja siwez weka namba yng hapa maana sjawai msumbua kumdai anaposema hela kaila, pili kwa usalama wng spo tyr kutoa namba hapa, tatu hiyo pesa kasaidie ndugu zako au familia yako achana na mambo ya watu ukzngatia sjasema ninamdai au kulalamikia fedha.
Safi sana , wanawake wengi sana wanadhalilishwa kwa sababu ya shida tuUlimkopesha bei Gani ?
Weka namba hapa chini nikurudishie hela yako uache kwendakwenda hapo
Mwanamke mwenzangu huyo biashara imekuwa ngumu hela ya kukulipa Hana anataka akupe mzigo mmalizane
Kiufupi anataka kukupa sio kwamba kapenda ni shida
Sasa na clear Mimi on her behalf mambo yasiwe mengi
Kwahiyo lengo la huu uzi wako ni lipi hasa?ila mi swala la kummega halipo tena,
Kutuonyesha kasaidia akanyimwa mzigo halafu akasusaKwahiyo lengo la huu uzi wako ni lipi hasa?
Unataka ushauri kuhusu nini hasa?
Bwashee hata huyu mleta mada alitoa huo mkopo ili iwe njia rahisi kumpata huyo Dada,Safi sana , wanawake wengi sana wanadhalilishwa kwa sababu ya shida tu
mmmh nadhan umemaliza kila ktu hapa sidhan kama kuna ushauri mwngne wa maana kama huu nspoyashka haya bs na acha niangamie tu. Pesa iko ndan ya uwezo wng na ndo maana sjawaimpgia kelele khs pesa na hata thread yng ukiisoma hakuna mahali nmelalamika silipwi.Huyo hana hela tena, au kazoea kumalizana na wadeni wake kwa style hiyo wewe sio wa kwanza kama iko ndani ya uwezo wako hiyo hela ipotezee, na usimle mkaushie !
Ukilala nae itakua chanzo cha wewe kudidimia utaombwa nyingine , na utaongezewa shida lukuki hapo.
Kiungwana samehe deni.
Vijana wanapenda kupiga mipira iliyokufa kinouma,🤣Bwashee hata huyu mleta mada alitoa huo mkopo ili iwe njia rahisi kumpata huyo Dada,
Ila mpaka sasa anaelekea kukosa vyote,
Dunia ya leo na teknolojia hii tuliyo nayo unafungaje safari kila wiki kufuata buku 6 ?
Vyote kwa pamojaMajuvi wa mambo hii mada ni ya kibiashara au mahusiano
Mfungie tu kioo, salam fresh kama ni majirani ! Usiende tena kufata we kula tu buyu.mmmh nadhan umemaliza kila ktu hapa sidhan kama kuna ushauri mwngne wa maana kama huu nspoyashka haya bs na acha niangamie tu. Pesa iko ndan ya uwezo wng na ndo maana sjawaimpgia kelele khs pesa na hata thread yng ukiisoma hakuna mahali nmelalamika silipwi.