Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 117

Mchumba au wife?
Habari JF!
nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.
Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.
Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.
Lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.
Naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!
Nipo njia panda ...
Nawakilisha!
Wewe ni jinsia gani? Gentleman or Lady? Bila shaka ni Gentleman.Habari JF!
nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.
Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.
Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.
Lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.
Naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!
Nipo njia panda ...
Nawakilisha!

Wewe unayekaa naye,unayemfahamu,ambaye ulishawahi kumuona ...unashindwa kumfaham cc ndo tumuelewe, kweli?

Simamia moyo unavyokusihi ufanye ,
Kuna muda naamua kumweka mbali kama kuwasiliana nae na misaada.Hivi maisha haya kweli bado mtu unaweza kupoteza muda na akili yako kwa ajili ya mapenzi!hata hivyo fuata moyo wako unakueleza kitu gani maana hapo tu kesheanza chenga kabla hata ya ndoa je akikubali umwoe itakuwaje!

Wewe ni jinsia gani? Gentleman or Lady? Bila shaka ni Gentleman.

Hebu jiangalie wewe mwenyewe nyanja zote kiuchumi, kidini, kikazi n.k, halafu na yeye pia, isije ikawa hakupendi kwa dhati ila labda kwa sababu anaona una hela sana au kuna vitu vingine anavipenda zaidi toka ndio maana pengine huamua kukubembeleza.

Ningekuwa na maswali mengi zaidi kama ningefahamu status yako na ya huyo mchumba wako.
Sniper unanchekesha statements zako!Haya mambo ya kujinunishanunisha hayatakiwi kwenye mapenzi. Sijui jinsia yako ila kama ni mwanaume ndo kabisa haitakiwi, mtafute umweke kitako ajue unamaanisha kweli unapoongelea suala la ndoa, labda unamwambiaga ukiwa hauko serious
Fiancee!Mchumba au wife?
Isije kua ndio huyo!mkwe wa kambo,una mning'inio eeh? sasa mwenzio anazungushwa kufunga ndoa, angekua wife wake angeteka kufunga nae ndoa?

Ngoja nianzie na haya!Jitahidi kukaa na kumuangalia kwa ukaribu utafahamu 2 anamatatizo gani! Labda nam2 mwingne ndio anamchanganya asiamue kufunga ndoa na ww!

Habari JF!

nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.

Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.

Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.

Lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.

Naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!

Nipo njia panda ...

Nawakilisha!
Habari JF!
nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.
Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.
Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo wangu...nikimuuliza lini tunafunga ndoa ...anasema bado hajaamua!!.
Lakin hunibembeleza na kuntafuta mara kwa mara.
Naamua nisimtafute kama ntaweza au nisimueleze kitu pia sitomsaidia atakayo kwangu!
Nipo njia panda ...
Nawakilisha!
Mhhh!

umezoea majini ndio maana binadamu huwawezi