Huyu mchumba wangu simuelewi

Kwaiyo unavoomba ushauri apa hataona hii thread au umebadil Id,apa lazima iwe mwisho wa haya mahusiano
Afu mwanaume wa kweli haezi omba public opinion kwa ishu ndogo kama hii
 
Kama yupo kazin anamiez 2 afu yawezekana kwel Hana salio mana ujue ukianza maisha Kuna kununua vitanda, godoro na mengineyo hivyo yawezekana Hana kitu kwel ungempa usikilizie je ataomba Tena ndio umsome sa iv ukisema anapenda hela utakua unakosea mana kaomba kwa Mara ya kwanza
 
Hivi kwa nini wanawake wanapenda sana kupewa pesa? Yaani unafahamiana na mdada leo kesho anataka umpe hela, tabia hii ni mbaya sana, nilikutana na mdada sehemu fulani ni bosi na mshahara wake ni mkubwa mara mbili ya mshahara wangu, tukadevelop r/ship cha kusikitisha ananitumia msg nimtumie hela ya saloon, hii tabia ni mbaya kuweni wastaarabu kama ni raha mbona wote tunapata raha kunako six kwa six sasa iweje nyie mpate raha bado mhitaji ziafa?
 
Mpe tuu ila ni tabia mbaya sana maana kioo hakidanganyi umesema mwenyewe kakidh sifa ulizotaka.....
 
No wonder ulikosa mchumba huko mtaani kwako! Kwahiyo utakuwa unatupatia updates za kila mahusiano yako!!
Aint you a man?? Jambo dogo kama hilo unatafuta public openion kweli!!!

Mungu tusaidie.
hahahaha JF kunatishaa et public opinion
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…