Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Toka nimueleze nimecheza judo, boxing na karatee amekuwa mchokozi kweli. Mara ya kwanza kazozana na konda nikiwa naye kamrushia ngumi konda konda kajibu nikamshushia kichapo konda. Mara ya pili machinga kamshika kifuani sijui kwa bahati mbaya au laa akaanzisha sekeseke nikampa kichapo chinga Mara ya tatu mjeda kamtongoza kaja kuniita fasta sina ili wale nini kaanza kumtukana mjeda. Mjeda akamcharaza vibao nikaona isiwe tabu nikampa kichapo mjeda nikahama mtaa siku hiyo hiyo. Leo kazozana na mkurya moja huko, muuza mayai. Kanifuata bahati nzuri sikuwepo. Je siku nikila kichapo itakuwaje? Atani chukuliaje? Je huyu ni mwanamke wa namna gani?
MMU ishakuwa jumba bovu!
kila shuzi unarushwa tuu bila kuangalia nani yuko karibu!
siku nyingine mshushie yeye kipigo!
Huwezi kubania shuzi, utapata Kansa ya utumbo.
Toka nimueleze nimecheza judo, boxing na karatee amekuwa mchokozi kweli. Mara ya kwanza kazozana na konda nikiwa naye kamrushia ngumi konda konda kajibu nikamshushia kichapo konda. Mara ya pili machinga kamshika kifuani sijui kwa bahati mbaya au laa akaanzisha sekeseke nikampa kichapo chinga Mara ya tatu mjeda kamtongoza kaja kuniita fasta sina ili wale nini kaanza kumtukana mjeda. Mjeda akamcharaza vibao nikaona isiwe tabu nikampa kichapo mjeda nikahama mtaa siku hiyo hiyo. Leo kazozana na mkurya moja huko, muuza mayai. Kanifuata bahati nzuri sikuwepo. Je siku nikila kichapo itakuwaje? Atani chukuliaje? Je huyu ni mwanamke wa namna gani?
king'astiiiiiii! i need you and i love youuu!!!
credit: mr nice nice!!
besti nimekumisijee!!
daah! Mkuu yaan umekaa umefikiriiaaa ukaamua kutuandikia uongo watu wazma kweli!! Hiv sisi ndio wa kutudanganya?!