Anajiandaa kugombea ubunge 2015
Obwato upo wapi
Nipo hapa naangalia sherehe za Mei mosi lakini nashindwa kuelewa huyu mshereheshaji ana matatizo ya kufikiri au ndio kujipendekeza kwa mkuu mpaka anaongea kauli zisizopendeza? Kwanza nilimsikia anawakemea watu kuwa "Tulieni kama mnafanyiwa tohara" nikadhani amepitiwa tu lakini amequdia tena kwa kumwambia mpeni rasmi kuwa "usiwe na wasiwasi hii mvua haitonyesha nina uwezo wa kuizuia" hapa amenishangaza sana, ina maana yeye ni Mungu au ni bingwa wa ushirikina? Sifa nyingine sio nzuri kuzitafuta kwenye halaiki kama hii.
Mkulu kasemaje maaana hata hela ya zuku imenishinda,haja wadangaja wafanyakazi?
kupitia chama gani!!Anajiandaa kugombea ubunge 2015
Kama umemsikiliza rais amesema nini kuhusiana na hili ndo ungeelewa huyo MC alikuwa anamaanisha nini. Taifa hili kuna watu ni inseparable na uchawi pamoja na MC na hiyo imethibitishwa na maneno ya rais kabla hajaanza hotuba yake ya Mei Mosi.