Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,626
- 7,525
Tuseme kwamba Yanga inaenda kutoa mchezaji bora wa kimataifa soon. Baada ya kombe la duniaa atagombaniwa sana.
Kivipi mkuu aisee jamaa ni hatariHakuna kitu
Na linajua kutumia chance balaaHIli ni chezaji, kwenye njaa ya goli hili ni bora kuliko bakambu huyu wa sasa.
Haaaaaaah Yanga ni dude kubwaHuyo mchezaji anachekesha hasa kama hajawahi kuichezea timu unayoishabikia.
Hamna kitu...Haaaaaaah Yanga ni dude kubwa
Woyooooooooooooo mwangu Yanga raha sanaYanga Bingwa
Mchezaji wa pyramid na sasa amekuwa free agent amekuwaje wa yanga, Mbape anavyofunga anajulikana wa Real Madrid na siyo timu alizopitiaTuseme kwamba Yanga inaenda kutoa mchezaji bora wa kimataifa soon. Baada ya kombe la duniaa atagombaniwa sana.
View attachment 3617311View attachment 3617311
Kwamba Yanga imesonga mbele kombe ka dunia siyo?Tuseme kwamba Yanga inaenda kutoa mchezaji bora wa kimataifa soon. Baada ya kombe la duniaa atagombaniwa sana.
View attachment 3617311View attachment 3617311
Kocha angemuamini tuHIli ni chezaji, kwenye njaa ya goli hili ni bora kuliko bakambu huyu wa sasa.