Huyu jamaa anaitwa MBWIGA WA MBUGIKD ananikosha sana!

Anasema aliachwa na mpenzi wake kwa vile hakuwa na "umate umate" akiwa na maana ya pesa (mtu kitu).
 
Naitwa mbwiga mbwiguke
mkole wa nyani kibwaya
mkia uzee wa simba si ujana
wa fisi, unga robo chenji
irudi mtu mwenye maneno
mengi muongo muongo,
kisheti yaani fundi wa
mpira mjanja mjanja
ukiutaka nakupa kama
sitaki nakufanyia ubahili naingia nayo mwenyewe
napiga nje ya 18,mabeki
wakizubaa nawafanya
kama mahindi machanga
sitemi kitu natafuna
gugudugugudu..............
 
Back
Top Bottom