yassird200
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 901
- 1,568
Wakuuu waslaam.
Mudaa mwingine tuwaze ujinga,nipo natizama mechi ya watani baada ya gori la azizz nikapata wazo fln. Iko hivi hapa mezani kwangu wakati napata chakula na burudani kwa wakati mmoja ghfa hawa jamaa wakanivamia. Hawa jamaa popote penye harufu nzuri ama mbaya wapo haijalishi niporini ama mjn lkn haijulikani wana lala wapi?
Eti Nzi ANALALA WAPI? NAANAISHI WAPI?