Huyu hana Shabaha kabisa...

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,385
Reaction score
68,490
Huu mchezo una wataalam wake!
 

Attachments

  • 1433492609846.jpg
    60.6 KB · Views: 1,958
Hapo wala nisinge angalia mchezo wenyewe... na mimi ningezunguka zunguka na mchezaji mpaka game liishe, du!
 
acha bwana sie wengine tunajifanyaga tumekosea kulenga vitundu maksudi ,halaf akinyamaza naendelea
 
Yeye kazoea kulengwa masuala ya kulenga kayaanza tu.
 
hahaha! kwani mchezo huu hauna kadi nyekundu?

Huu una kadi ya kijani tu... Sasa mkuu, nataka awe dereva wangu wa bodaboda waweza nipatia namba yakeniongee nae? Maana njia za huku pia zina vishimo vishimo...
 
acha bwana sie wengine tunajifanyaga tumekosea kulenga vitundu maksudi ,halaf akinyamaza naendelea


Hahahaha haya fanya urudi tanzania naona ushawaharibu wakenya vyakutosha mambo ya kongowea hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…