Kwa upande wa Majaji walitoa remarks kama ifuatavyo:The trial magistrate was particularly attacked for the style adopted in writing the judgment. The judgment, Mr. Marando said, makes undeserving remarks on the defence witnesses, hence suggesting that the trial magistrate was biased and had formed her own opinion about the case.
Story haijaishia hapo tu huyu Hakimu ali-cite kesi kwenye Hukumu ambayo nimeifuatilia haipo! Kesi hii aliyoi-cite ni FUNDI OMARI v. R [1972] HCD 98. Kwenye HCD kesi namba 98 ni Madege v. R. Crim. App. 565-D-71; 18/2/72! Huyu Hakimu anaitwa Addy Lyamuya. Ukisoma Hukumu ya Criminal Case No. 555 ya mwaka 2003 ya Mahakama ya Kisutu aliyoitoa yeye inachanganya kweli, haina mtiririko wa kueleweka! Mna maoni gani Learned Brothers and Sisters, au hayo ni makosa ya kawaida tu kwa profession ya Sheria na yanaweza kuwa curable kama walivyosema Majaji kwenye Quotation hapa chini?For this reason we emphasise the importance of avoiding making remarks in the judgment which do not reflect impartiality. In this case, we agree with the learned counsel for the appellants that the remarks made by the trial magistrate were unwarranted under the circumstances, more so because they were one sided.
But as the learned Principal State Attorney said, the defect is curable under section 388 of the Criminal Procedure Act.
Wapendwa Wanasheria,
Nilikuwa nafuatilia Hukumu ya Mahakama ya Rufaa [NGUZA VIKINGS @ BABU SEYA, JOHNSON, NGUZA @ PAPII KOCHA, NGUZA MBANGU, FRANCIS NGUZA Versus THE REPUBLIC, CRIMINAL APPEAL NO. 56 OF 2005, (Unreported)] remarks ambazo zimetolewa na Wakili wa Utetezi kwenye rufaa hiyo kama ifuatavyo:
Kwa upande wa Majaji walitoa remarks kama ifuatavyo:
Story haijaishia hapo tu huyu Hakimu ali-cite kesi kwenye Hukumu ambayo nimeifuatilia haipo! Kesi hii aliyoi-cite ni FUNDI OMARI v. R [1972] HCD 98. Kwenye HCD kesi namba 98 ni Madege v. R. Crim. App. 565-D-71; 18/2/72! Huyu Hakimu anaitwa Addy Lyamuya. Ukisoma Hukumu ya Criminal Case No. 555 ya mwaka 2003 ya Mahakama ya Kisutu aliyoitoa yeye inachanganya kweli, haina mtiririko wa kueleweka! Mna maoni gani Learned Brothers and Sisters, au hayo ni makosa ya kawaida tu kwa profession ya Sheria na yanaweza kuwa curable kama walivyosema Majaji kwenye Quotation hapa chini?
Addy Lyamuya.....huyu ni kimeo ktk mfumo wa sheria hapa nyumbani, hukumu zake nyingi zinawaachaga watu vinywa wazi, ni mtata kuliko sheria yenyewe, ni mtu ambae kipindi chake chote pale Kisutu amethibitika kuwa ni hakimu wa hovyo sana.
yuko wapi siku hizi.....?
Hivi huyu hakimu si alipandishwa cheo na kuwa registrator (deputy) wa high court hivi majuzi?
Both wrong citation and non-citation of the law are incurable
Wrong citation and non-citation of the law havikuongelewa na majaji na advocate na haikuonekana kama irregularity, hiyo ilikuwa ni observation yangu tu. Samahani kama sijayaweka vizuri hayo hapo juu kwenye post #1. Hata hivyo nakubaliana na maoni yako!
Buchanan you are right,but what we are discussing here is the decision of the court of the first instance,of which its irregularity including non and wrong citation can not be left to stand even if the Justices of Appeal did not observe the same.
Jamani nisaidieni................KWANINI ENGINEER AKIFANYA VIBAYA KWENYE FIELD YAKE ANAWEZA AKAFUKUZWA KAZI MARA MOJA...?? (EG LOWASA ALISHAWAHI KUFANYA HIVYO). LAKINI DAKTARI AKIFANYA VISIVYO ANAACHWA TUUUU (MUHIMBILI WA KICHWA ALIPASULIWA MGUU NA WA MGUU ALIPASULIWA KICHWA)............ MWANASHERIA AKIFANYA HIVYO ANAANGALIWA TUUU.......... KESI YA AKINA BABU SEYA NA WANAWE............. WATU WAMEKAA GEREZANI ALMOST MIAKA SITA LAKINI ALIYEWAHUKUMU YUPO TUUU..........mi thielewi.......Wapendwa Wanasheria,
Nilikuwa nafuatilia Hukumu ya Mahakama ya Rufaa [NGUZA VIKINGS @ BABU SEYA, JOHNSON, NGUZA @ PAPII KOCHA, NGUZA MBANGU, FRANCIS NGUZA Versus THE REPUBLIC, CRIMINAL APPEAL NO. 56 OF 2005, (Unreported)] remarks ambazo zimetolewa na Wakili wa Utetezi kwenye rufaa hiyo kama ifuatavyo:
Kwa upande wa Majaji walitoa remarks kama ifuatavyo:
Story haijaishia hapo tu huyu Hakimu ali-cite kesi kwenye Hukumu ambayo nimeifuatilia haipo! Kesi hii aliyoi-cite ni FUNDI OMARI v. R [1972] HCD 98. Kwenye HCD kesi namba 98 ni Madege v. R. Crim. App. 565-D-71; 18/2/72! Huyu Hakimu anaitwa Addy Lyamuya. Ukisoma Hukumu ya Criminal Case No. 555 ya mwaka 2003 ya Mahakama ya Kisutu aliyoitoa yeye inachanganya kweli, haina mtiririko wa kueleweka! Mna maoni gani Learned Brothers and Sisters, au hayo ni makosa ya kawaida tu kwa profession ya Sheria na yanaweza kuwa curable kama walivyosema Majaji kwenye Quotation hapa chini?
MWANASHERIA AKIFANYA HIVYO ANAANGALIWA TUUU.......... KESI YA AKINA BABU SEYA NA WANAWE............. WATU WAMEKAA GEREZANI ALMOST MIAKA SITA LAKINI ALIYEWAHUKUMU YUPO TUUU..........mi thielewi.......