Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,467
- 23,748
Kama stori yako ni kweli, ebu cheki "masega" (catalytic converter) kama yapo. Garage nyingi wanaiba hizo zipo kwenye muffler ya exhaust wanaikata, na kutoa hayo "masega" kwenda kuyauza, na kuchomelea tena. Masega hayo kwa kisasi yana madini ya thamani. Wenye magari wachache sana wanajua huu mchezo na wengi hawana time ya kukagua uvunguni kama muffler imechomelewa, ikiwa ni dalili kuwa "masega" yameibwa. Kama umewahi kupeleka gari garage na ikakaa si chini ya siku moja, ebu cheki kama muffler yako imechomelewa au hapana. Kama imechomelewa, jua 95% umeliwa.Nipo mkoa flani gari yangu ilipata ajali nmeleta kwa fundi. Hapa nliambiwa ndo mtaalamu wa hizi gari ni Toyota Hilux D4 zenye speed 200. Ilipata rabsha kidogo ikabidi nilete kwa fundi akague kila kitu.
Gari imerekebishwa upande wa body mbele kidogo na chassis ilipinda hivyo ilibidi kushushwa engine inyooshwe.imenyooshwa leo wanarudisha engine.mimi nipo nafuatilia kwa ukaribu.
Fundi amefunga kila kitu namwona kwenye kopo kuna Bolts kama 5 hivi.namuuliza umemaliza kila kitu kurudishia. Ananambia ndiyo. Basi nikainuka nikachukua lile kopo lenye bolts na kumuuliza "hizi bolts kwa nini zimebaki?"
Ananijibu "Hizo zilizidi Boss" hapa pembeni yangu kuna spana sijui nani alinishikisha mkononi nikakuta nmemrushia na yeye sijui nani alimkwepesha aka epa na kukimbia akipiga kelele.
Hapo akaja fundi mkuu nikamweleza situation ilivyo akaniomba radhi sana.sasa ameamua engine ishushwe aipandishe aifunge yeye mwenyewe upya. Hataki tena kuwaachia madogo wake. Sasa nami nipo nao bega kwa bega maana huwa nikija garage nakuja nmevaa overall kabisa.
Nimewaza huyu fundi bwana mdogo ana akili kweli? Yaani bolts zote zilikuwa zimefungwa. Leo karudisha engine anasema zilikuwa zimezidi...bolts zimezidi je alizikuta pembeni ya engine?
Sasa imagine haupo. Unakuja unakabidhiwa gari bolts 8 hazijafungwa. Huu si wendawazimu,wehu,ukichaa,ubaradhuli,ubazazi,ufala,usengie wa mafundi? Wallah ile spana ingempata ningekuwa kwenye hard time sana.
Hili swali ata Mimi nilishaulizaga inakuaje bolt huwa zinabaki. Mafundi wanapenda short cut.
Sometimes mafundi wanaharibiana kazi wenyewe kwa wenyewe. Unakuta wakati anaendelea na kazi anakuja mwingine anaongeza bolts au nuts katika container analowekea bolt au nuts.Hili swali ata Mimi nilishaulizaga inakuaje bolt huwa zinabaki. Mafundi wanapenda short cut.
Mkuu hongera kwa kumiliki gariNipo mkoa fulani gari yangu ilipata ajali nmeleta kwa fundi. Hapa niliambiwa ndio mtaalamu wa hizi gari ni Toyota Hilux D4 zenye speed 200. Ilipata rabsha kidogo ikabidi nilete kwa fundi akague kila kitu.
Gari imerekebishwa upande wa body mbele kidogo na chassis ilipinda hivyo ilibidi kushushwa engine inyooshwe. Imenyooshwa leo wanarudisha engine. Mimi nipo nafuatilia kwa ukaribu.
Fundi amefunga kila kitu namwona kwenye kopo kuna Bolts kama 8-10 hivi. Namuuliza umemaliza kila kitu kurudishia. Ananambia ndiyo. Basi nikainuka nikachukua lile kopo lenye bolts na kumuuliza "hizi bolts kwa nini zimebaki?"
Ananijibu "Hizo zilizidi Boss" hapa pembeni yangu kuna spana sijui nani alinishikisha mkononi nikakuta nmemrushia na yeye sijui nani alimkwepesha akaepa na kukimbia akipiga kelele.
Hapo akaja fundi mkuu nikamweleza situation ilivyo akaniomba radhi sana. Sasa ameamua engine ishushwe aipandishe aifunge yeye mwenyewe upya. Hataki tena kuwaachia madogo wake. Sasa nami nipo nao bega kwa bega maana huwa nikija garage nakuja nmevaa overall kabisa.
Nimewaza huyu fundi bwana mdogo ana akili kweli? Yaani bolts zote zilikuwa zimefungwa. Leo karudisha engine anasema zilikuwa zimezidi, bolts zimezidije, alizikuta pembeni ya engine?
Sasa imagine haupo. Unakuja unakabidhiwa gari bolts 8 hazijafungwa. Huu si wendawazimu, wehu, ukichaa, ubaradhuli, ubazazi, ufala, usengie wa mafundi? Wallah ile spana ingempata ningekuwa kwenye hard time sana.
Nipo mkoa fulani gari yangu ilipata ajali nmeleta kwa fundi. Hapa niliambiwa ndio mtaalamu wa hizi gari ni Toyota Hilux D4 zenye speed 200. Ilipata rabsha kidogo ikabidi nilete kwa fundi akague kila kitu.
Gari imerekebishwa upande wa body mbele kidogo na chassis ilipinda hivyo ilibidi kushushwa engine inyooshwe. Imenyooshwa leo wanarudisha engine. Mimi nipo nafuatilia kwa ukaribu.
Fundi amefunga kila kitu namwona kwenye kopo kuna Bolts kama 8-10 hivi. Namuuliza umemaliza kila kitu kurudishia. Ananambia ndiyo. Basi nikainuka nikachukua lile kopo lenye bolts na kumuuliza "hizi bolts kwa nini zimebaki?"
Ananijibu "Hizo zilizidi Boss" hapa pembeni yangu kuna spana sijui nani alinishikisha mkononi nikakuta nmemrushia na yeye sijui nani alimkwepesha akaepa na kukimbia akipiga kelele.
Hapo akaja fundi mkuu nikamweleza situation ilivyo akaniomba radhi sana. Sasa ameamua engine ishushwe aipandishe aifunge yeye mwenyewe upya. Hataki tena kuwaachia madogo wake. Sasa nami nipo nao bega kwa bega maana huwa nikija garage nakuja nmevaa overall kabisa.
Nimewaza huyu fundi bwana mdogo ana akili kweli? Yaani bolts zote zilikuwa zimefungwa. Leo karudisha engine anasema zilikuwa zimezidi, bolts zimezidije, alizikuta pembeni ya engine?
Sasa imagine haupo. Unakuja unakabidhiwa gari bolts 8 hazijafungwa. Huu si wendawazimu, wehu, ukichaa, ubaradhuli, ubazazi, ufala, usengie wa mafundi? Wallah ile spana ingempata ningekuwa kwenye hard time sana.
Huyo boss mkuu asipomfukuza huyo fundi kijana mdogo basi atajifukuzishia wateja wake wote. Customer Caring ndogo sana hapo kwa biashara za uswahilini.Nipo mkoa fulani gari yangu ilipata ajali nmeleta kwa fundi. Hapa niliambiwa ndio mtaalamu wa hizi gari ni Toyota Hilux D4 zenye speed 200. Ilipata rabsha kidogo ikabidi nilete kwa fundi akague kila kitu.
Gari imerekebishwa upande wa body mbele kidogo na chassis ilipinda hivyo ilibidi kushushwa engine inyooshwe. Imenyooshwa leo wanarudisha engine. Mimi nipo nafuatilia kwa ukaribu.
Fundi amefunga kila kitu namwona kwenye kopo kuna Bolts kama 8-10 hivi. Namuuliza umemaliza kila kitu kurudishia. Ananambia ndiyo. Basi nikainuka nikachukua lile kopo lenye bolts na kumuuliza "hizi bolts kwa nini zimebaki?"
Ananijibu "Hizo zilizidi Boss" hapa pembeni yangu kuna spana sijui nani alinishikisha mkononi nikakuta nmemrushia na yeye sijui nani alimkwepesha akaepa na kukimbia akipiga kelele.
Hapo akaja fundi mkuu nikamweleza situation ilivyo akaniomba radhi sana. Sasa ameamua engine ishushwe aipandishe aifunge yeye mwenyewe upya. Hataki tena kuwaachia madogo wake. Sasa nami nipo nao bega kwa bega maana huwa nikija garage nakuja nmevaa overall kabisa.
Nimewaza huyu fundi bwana mdogo ana akili kweli? Yaani bolts zote zilikuwa zimefungwa. Leo karudisha engine anasema zilikuwa zimezidi, bolts zimezidije, alizikuta pembeni ya engine?
Sasa imagine haupo. Unakuja unakabidhiwa gari bolts 8 hazijafungwa. Huu si wendawazimu, wehu, ukichaa, ubaradhuli, ubazazi, ufala, usengie wa mafundi? Wallah ile spana ingempata ningekuwa kwenye hard time sana.
Sometimes mafundi wanaharibiana kazi wenyewe kwa wenyewe. Unakuta wakati anaendelea na kazi anakuja mwingine anaongeza bolts au nuts katika container analowekea bolt au nuts.
Sasa ukiwekewa hata uwe fundi vipi lazima uchanganyikiwe kwanza.
Ipo hiyo.Hii sijawahi ifahamu.....kumbe nayo ipo?