Huyu demu simuelewi

Joined
Jan 16, 2013
Posts
23
Reaction score
4
Mimi ninampenzi wangu ila tuko mbali huwa tunawasiliana tu,,tatizo ni kwamba nilikuwa nikimpigia sim hapokei kwa takriibani wiki mbili hivi baada ya hapo alinipigia sim nakunieleza eti alikuwa ananipima kama ninaupendo wa kweli kwake.
Naomba ushauri hivi hii nikweli?
 
kijana huo mwanzo utakuja haba uje useme watu wamekumegea demu wako.....y bado umng'ang'ania long distance relationship
 
we mtumie sms kuwa umepata mpenzi mwingine kaa wiki tatu then umwambie ulikuwa unampima, huyo hakupimi ila anakupiga nyundo ya 30ton kichwani we vipi
 
Ndo unaachika ivyoo... Yani kama huelewi we ni mbishi tuu..
 
Mkuu mbona jina lako linaongea kila kitu?
 

Hizi kesi zingine naona umri unaweza kua judge mkuu. Hivi hapa nitoe ushauri gani?
 
umeshajiandikish amtihani wa QT???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…