Huyu dada simuelewi

Mtoa mada kwanini umemnunulia chipsi mtu ambaye hata humjui??Mnawezaje Kwa kweli kisa mwanamke.

Let's say ungekuwa na nauli tu huna hela nyingine kabisa alafu anakuambia umnunulie ungefanyaje??

Angekuwa mwanaume amefanya hayo aliyofanya huyo mwanamke ungekubalii??


Niseme tu Hawa wanawake wameshatuona wanaume ni mazuzu.
 
Hamkutandikwa bakora kwa kula hadharani?
 
Mjini shupe hapa Mimi angelipa Tu mwenyewe yaani from nowhere aje nimlipie for no reason

LABDA atleast ukikuangalia unajua anashida au dishi limecheza

Hata kutoa ni moyo mzee usiwazee sana
 
Umehudumia janaume!
 
Hilo ni dume mkuu
 
Ila wanawake bana sijui wakoje.Nilienda kupata moja moto moja baridi kwenye kiglosari ambacho anauza huyo dada(ni cha kwake).Nikiwa hapo akaniomba nimnunulie bia moja nikamwambia sawa.Cha kushangaza baada hapo kila nikimuagiza bia nyingine ya kwangu na yeye anachukua ya kwake wakati mwanzoni aliomba moja tu.
 
Kumpa mtu msaada wa chipsi kavu halafu akaagiza chipsi yai na soda baridi ndo utuletee mayowe huku mitandaoni....

Unapotoa msaada kwa mkono wa kuume, hata mkono wa kushoto usijue
 
Mjini shupe hapa Mimi angelipa Tu mwenyewe yaani from nowhere aje nimlipie for no reason

LABDA atleast ukikuangalia unajua anashida au dishi limecheza

Hata kutoa ni moyo mzee usiwazee sana
Nilijua dishi haliko sawa, kwa sababu alikuwa anajiamini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…