Its not easy as u suggest mkuu hayajakukuta haya labda!!
Na mimi nimejifunza kitu hapa..:decision:
Mkuu hiyo option naona nitajidhalilisha zaidi,ndiyo maana nimeileta hii inshu hapa JF.Naamini nitapata muafaka kwani kwani kuna wakulu tayari wameshachangia as if yalishawakuta au wanaijua inshu yangu from a-z!
Kujibu swali lako mkuu ni kweli ni karibu miaka miwili sasa namtongoza huyu manzi.Unajua kila manzi yuko tofauti na si wa kumwambia moja kwa moja kuwa nataka chezo.Mwenyewe kwa jinsi ninavyomuelewa ni wale mademu wa kwenda date halafu mambo mengine kama kwenda bed yatafuata naturally.Huwa ananiruhusu nimshike na nikiwa naye club kwa mfano huwa nabambia sana tu,na huwa ana behave kama demu wangu,isipokuwa hajawahi kuniruhusu kula mate hata siku moja,na hapa ndipo penye tatizo kwani kwa uzoefu wangu,nikishakulana mate na demu tu basi in the next few meetings lazima kitaeleweka!
Kuhusu maoni yako ya kumpotezea,nakubaliana nawe.Nimeamua kumsikilizia,akirudi tena anga zangu itakuwa ndiyo mara yangu ya mwisho kumfuatilia,na nitampa ukweli tu kwamba hata huo urafiki/ukaka siutaki tena,tusitafutane na kila mtu achukue time zake!
Nitajaribu kwa mara ya mwisho mkuu,akizingua safari hii sitamrudia tena!
Mkuu nimeshamuhubiria sana kuhusu uhusiano wa kudumu.Huwa anaonyesha interest kishenzi lakini mwishowe ataendelea na maneno yake yaleyale.
inawezekana ni shemale/maji mengi/haina shavu moja??nisaidie mbinu za kumchunguza mkuu hata kwa pm!
What ur saying can be true cos everybody got their own standards when choosing their second half.But if that is the case,why then she is doing me all these nonsense if im not all that for her?U meet ur brother while dressing up erotically?U write/talk to ur brother romantic and titillating words?She could just come out and tell me straight up that she doesnt like me and not giving me some hopes as she is doing.!She should be abnormal somewhere then for wasting her time acting like couple with somebody she doesnt like much and expecting at the same time to find her Mr.right,cos time is not going back and she is already 28 now!
Mara nyingi wanawake wa type hii wanakuwa na mambo yafuatayo;Kuna mdada mmoja,siyo mzuri sana lakini ni mrefu,mrembo na msomi na ni type yangu na binafsi namuona ni wife material.Nimempenda huyu dada.Yuko single.Ni muda mrefu namtongoza lakini kila mara huwa ananikatisha tamaa,kuwa pamoja na kuwa im a nice guy lakini hatatoka na mimi na ana enjoy company yangu kama rafiki/kaka.Huwa nikimuomba kutoka nae,Hakatai hata kidogo,na huwa anajiandaa sana kwa maana ya kujipodoa na kuvalia vizuri sana as if anakwenda kukutana na mpenzi wake na si rafiki/kaka kama anavyodai kunichukulia.Na huwa ana flirt sana tu,tunapokutana au kuongea kwenye simu au sms.
Kinachonishangaza zaidi(pamoja na maneno yake kuwa hawezi kuwa mpenzi wangu)akiniona au akisikia kuwa nina mpenzi huwa ananinunia na hataki kukutana na mimi tena.Alinifanyia hivi nilipokuwa natoka na msichana mwingine.Tulikuwa hatuwasiliani wala hatukutani.Alipopata habari kuwa nimeachana na huyu msichana (mwanzoni mwa mwezi uliopita)aliniandikia message ya kunijulia hali baada ya muda mrefu.Nilipopata message yake nilifurahi sana.Nikaamua kumfukuzia tena safari hii nikiwa na imani kubwa labda kitaeleweka.Nikamuomba,akakubali kama kawaida tukatoka.Tuliongea sana usiku ule,lakini nilipomkumbushia issue yangu ya kumtaka,alinichomolea katakata,na kama kawaida yake akidai kuwa ana enjoy tu company yangu kwavile ananichukulia kama rafiki/kaka.Sikukata tamaa japo deep down nilikasirika.Nikawa naendelea kukutana nae na kuwasiliana nae mara kwa mara.
Sasa wakuu ni juzi tu jumamosi,nikaamua kutoka na demu mwingine club moja hivi.Kama zali pale club na yeye alikuwepo na nikagongana naye macho kwa macho,akiniona na huyu demu mwingine.Akanikatia jicho kunionyesha kuwa amechukia.Jumapili niliamua kumpigia,lakini hakupokea.Jana jumatatu nikamuandikia message lakini mpaka sasa hakunijibu.
Wakuu kifupi nampenda huyu demu na kama angeingia kwenye line,nilitaka nioe kabisa.Tatizo simuelewi kama ni mgumu wa kuelewa somo,hanipendi,ni sitaki nataka,ananitega au vipi??
Sasa wakuu nisaidieni mawazo,nimfanyeje huyu manzi?
Nitaheshimu mawazo yenu wakuu,isipokuwa matusi na dhihaka zisizokuwa na maana.
Thank you JF,thank you,thank u(za ki Obama!).Nina furaha kuwafahamisha kwamba yule mdada aliyenisumbua sana,sasa yuko mikononi.I appreciate your contributions guys,some really helped me,i mean nimefanikiwa kumpata na kama mambo yatakwenda vizuri natarajia kumvisha pete ya uchumba baada ya miezi michache kuanzia sasa.Bado tunaendeleana kujuana lakini mambo yote mswano na hivi ninavyoandika niko nae hapa.
Nawasihi muendelee kuwasaidia na wengine waliokwama kwenye mahusiano
No offense, but Could it be maybe you are her Plan B :wink2:???
She is holding out, hoping to meet and/or get with Mr plan A, lakini mean while is hanging onto you just in case Plan A doesnt materialize!?
Hongera sana Mhubiri, ila mimi nina swali if you dont mind. Did she ever tell you the reason behind her hot/cold/hot behaviour? Au ndio ulikuwa mtihani?