Huyu dada anayetafuta mume amechanganyikiwa? Hana vigezo!

Sasa hivi sina vigezo mradi awe ana pumua na awe na uke tu basi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sio mbaya, na inaonekana chura yupo...tena huyu anaweza kuiheshimu ndoa yake mno.
 
Kwahiyo wasiotaka magari ndio wameshaolewa?
Mi mwanamke akifanya haya tu namwogopaga kama ukoma

1. Avae nywele za bandia (wigi)
2. Kujipodoa podoa madude ya bandia
3. Amezalishwa kabla ya kuolewa (singo maza)
4. Tamaa ya pesa na kuomba omba.

Yaani sipendaginmazoea na wanawake wenye hayo mambo. Napenda natural lady
 
Mi mwanamke akifanya haya tu namwogopaga kama ukoma

1. Avae nywele za bandia (wigi)
2. Kujipodoa podoa madude ya bandia
3. Amezalishwa kabla ya kuolewa (singo maza)
4. Tamaa ya pesa na kuomba omba.

Yaani sipendaginmazoea na wanawake wenye hayo mambo. Napenda natural lady
Karibu Mbeya, Uporotouporoto, wapo
wengi sana tena very beautiful and disciplined!!
 
IPO HIVI KWA HARAKA HARAKA HUYO DADA INAONESHA NI MCHARUKO,KWANZA HATA KAMA UNATAFUTA MUME SI KWA STYLE ILE YA KUTEMBEA NA BANGO MTAANI SASA HUO UNAKUWA NI UCHIZI,,CHA PILI UKIFUATILIA ANAYOYAONGEA ANAPOHOJIWA HANA AIBU KABISA ETI ANATAFUTA ILI AFIKISHWE KILELENI,,HALAFU WAKATI HUO ANAWAAMBIA WATU YEYE NI BIKRA NA WENGINE ANAWAAMBIA ANA WATOTO WAWILI,,UKITAZAMA ANAVYOZUNGUMZA INAONESHA KABISA HANA NIDHAMU NA HUWA HADUMU NA WANAUME ZAKE SABABU YA MDOMO MDOMO..HALAFU MWANAMKE ANAYEJITAMBUA ANAPOTAFUTA KITU LAZIMA AFICHE HULKA ZAKE.MFANO YULE ALIKUWA ANAKUNYWA POMBE HADHARANI ANAPOHOJIWA NA MTANGAZAJI KITU AMBACHO ANAJICHORESHA NI MTU WA AINA GANI!
 
Acha ukuda wewe aliekuambia kupaka make up na manyusi ya kubandika kunazuai kuolewa ni Nani?
Kwa taarifa yako wanaume wenyewe wanawanunulia wake zao....
Uwe unafanya research kabla hujatoa sababu zisizo sahihi.
Wanawake natural wamejaa mtaani na hawajaolewa utasema wamekosea kuwa natural na mikorogo inaolewa daily kitaani huku.
Achana na wanawake pambana na tozo.
Mweka kucha bandia na nyusi bandia akiwa bungeni kutetea chama chake.
 
Back
Top Bottom