Kipapatiro
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 1,128
- 1,497
Hahahah aliwabana mawakili was serikali pale tume ya maadili jamaa hawakumwita tena1. KWANZA NI TOTO LA KINYAMWEZI (MTOTO WA MJINI)
2. AMESOMA VIZURI (LAW, HAVARD)
KIUFUPI HAKAMATIKI WALA HAADABIKI NA HAKUNA WA KUMUWEZA.
WENGI WALIOSHUGHULIKIWA HAWANA SIFA ZA CHENGE.
Majibu yake tu ni dose tosha.
Kama wameanza kumshughulikia Nyalandu!Mpaka akihama mwenyewe ndo wataanza kumrushia mayai viza
Huyu njamaa inasemekana Level ya fani ya Sheria aliyofikia ndio maana wanamuogopa,Heshima,
Kuna wakati CCM ilinuia kujikoboa gamba ili iwe mpya. Walitajwa watu wa kuondoka lakini hawakuondoka, angalau kwa kufukuzwa.
Watu walioitwa magamba ni Rostam Aziz, Edward Lowasa na Andrew Chenge. Lowasa na Rostam wameondoka. Amebaki Chenge, mbunge wa Bariadi Magharibi. Pamoja na kashfa nyingi, kuanzia Radar mpaka Escrow, hakuna aliyejaribu kumgusa Chenge, iwe polisi, Tume ya Maadili au TAKUKURU.
Kuna wakati walijaribu kumtingisha kuhusu documents alizosaini. Aliwaambia hivi, "Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu, sasa tatizo liko wapi?
Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye bosi huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za Umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign an agreement without a security".
Huyo ni Chenge aka Nyoka Mwenye Makengeza. Nina hakika atabaki salama.
Kawaida kwenye utendaji wa serikali, kunakuwa na kikao cha baraza la mawaziri. Rais ni mwenyekiti. Akisaini executive order, nani atathubutu kukataa? Kumbuka Nyoka Mwenye Makengeza ni mzoefu sana kwenye utendaji unaohusu mikataba na utekelezaji wa maamuzi ya pamoja.Mkuu naomba unisaidie...hivi akiambiwa athibitishe pasipo na shaka beyond reasonable doubt kuwa aliagizwa na mkubwa wake kusaini anaweza kufanya hivyo?kuna maandishi sehemu yoyote yakimwelekeza hivyo?je Yeye anayomamlaka ya kusaini au hana?
nitashukuru ukinisaidia kujibu hawa ili nielewe kuwa huyu nyoka wa makengeza hawezi kushatakiwa....
Mpaka akihama mwenyewe ndo wataanza kumrushia mayai viza
Nzige acha ushambaATAHAMIA CHAGADEMA 2020 AJE KUWA MGOMBEA WENU WA URAISI, MAANA MNAMTAMANI KWELIKWELI
Anaweza kushtakiwa ila kwa double standard mlizoamua kusimamia, hakuna wa kumwambia kitu. Watabweka kama mbwa koko ila hakuna wa kung'ata
Na bado ni Mwenyekiti wa Bunge. CCM ninyi ni washenzi wakubwa.
Mtu husafika kwa sababu ya udhaifu wa Taasisi zinazosimamia maadili na utamaduni wa muda mrefu wa CCM kulindana.Ukiona mkubwa ameshtakiwa CCM ujue si mwenzao.KASHFA ZOTE ULIZOMPA NAAMINI UNAAMINI ZINAMKABILI ILA AKIHAMIA CHAGADEMA TU UTAMSAFISHA RASMI AU SIO?
je Yeye anayomamlaka ya kusaini au hana?
Hahahaha jamaa kiboko ya kubwa la maaduiHahahah aliwabana mawakili was serikali pale tume ya maadili jamaa hawakumwita tena
Jf raha sanaSwali: Je, Ni Nani aliwatuma hawa jamaa kutia saini mikataba ya kulitia hasara taifa? Nani alimtuma Solex kuuza nyumba za umma?
BWM, the man himself."Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu, sasa tatizo liko wapi? Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye bosi huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za Umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign an agreement without a security".
Andrew Chenge
Swali: Je, Ni Nani aliwatuma hawa jamaa kutia saini mikataba ya kulitia hasara taifa? Nani alimtuma Solex kuuza nyumba za umma?
Usicheza na Msukuma aina ya Mnyantuzu Ntemi Chenge toka Simiyu...!!Hawamuwezi
Haya maswali ulitakiwa ukamuulize ChengeMkuu naomba unisaidie...hivi akiambiwa athibitishe pasipo na shaka beyond reasonable doubt kuwa aliagizwa na mkubwa wake kusaini anaweza kufanya hivyo?kuna maandishi sehemu yoyote yakimwelekeza hivyo?je Yeye anayomamlaka ya kusaini au hana?
nitashukuru ukinisaidia kujibu hawa ili nielewe kuwa huyu nyoka wa makengeza hawezi kushatakiwa....
Heshima,
Kuna wakati CCM ilinuia kujikoboa gamba ili iwe mpya. Walitajwa watu wa kuondoka lakini hawakuondoka, angalau kwa kufukuzwa.
Watu walioitwa magamba ni Rostam Aziz, Edward Lowasa na Andrew Chenge. Lowasa na Rostam wameondoka. Amebaki Chenge, mbunge wa Bariadi Magharibi. Pamoja na kashfa nyingi, kuanzia Radar mpaka Escrow, hakuna aliyejaribu kumgusa Chenge, iwe polisi, Tume ya Maadili au TAKUKURU.
Kuna wakati walijaribu kumtingisha kuhusu documents alizosaini. Aliwaambia hivi, "Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu, sasa tatizo liko wapi?
Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye bosi huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za Umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign an agreement without a security".
Huyo ni Chenge aka Nyoka Mwenye Makengeza. Nina hakika atabaki salama.
HATA AKIHAMIA CHAGADEMA NAKO WATAMSUJUDIA TU HAWAMUWEZI ZAID YA YOTE WATAAONA WAMEPATA LULU NA KUMFANYA AWE MGOMBEA WA URAISI 2020Mtu husafika kwa sababu ya udhaifu wa Taasisi zinazosimamia maadili na utamaduni wa muda mrefu wa CCM kulindana.Ukiona mkubwa ameshtakiwa CCM ujue si mwenzao.
Ukiwa CCM wewe ni malaika, huguswi.Ukitoka tu, utakiona cha mtemakuni. Kwa Chenge, awe nje au ndani, hakuna wa kusema fyo!