Huyu binti nampenda na pia nina ndoto ya Kumuoa ilaa....

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Wakuu habari za siku,
Eee bwana nina huyu demu wangu fulani ananiumiza akili bila yeye kujijua, yaani ni kwamba namwelewa saana huyu binti na tokea niwe naye nimeanza hata kupata feelings za kutaka kuja kuwa mama wa watoto wangu!

Kibaya zaidi huyu binti alikuwa hataki ngono ila nikamshawiashi saana tyu akaja akalainika na siku moja akanitumia text akanambia "A kuna zawadi nataka nikupe zawadi ambayo nikikupa haitoweza kurudi maishani mwangu, aah nikajiuliza zawadi gani hii....wee binti akaja gheto akaniambiaa she is virgin na hio ndo zawadi pekee atayonipa ambayo haitofutika katika kumbuku za ubongo wake!

Ila tatizo linakuja pale yeye ni mtoto wa kishua na mimi ndio hivo teenaa so kila time nikicompare hali ya kwao na kwetu idea mbaya ya kumtumia tu bila ya kuwa na malemgo ya kumwoa inanijia yaani kiufupi nina hofu (inferiority complex) kwamba kwa kuwa yeye ni wa kishua na mimi kapuku kwa sasa itaniwia ngumu kutimiza lengo langu japo yeye anaridhia saana tu kuwa na mimi japo pia mimi sijawa na imani nae saana maana am 22 na she is 18 so it means kuna miaka mingi mbele mpaka kutimiza azma hii!

Kwa sasa am University student (Civil Eng) so mpaka life langu kuja ku settle na kuwa comfortable kumbeba mtotoo wa kishua naonaa itachukua muda...so wanandugu naombeni nishaurini seriously je hii inawezekana kweli yaani kumuoa huyu binti still kama kuna miaka kama 6 mbelee, au niendelee kujitafunia tu bila kuwa na malengo nae? maana navoweka malengo naingiwa na hofu kwamba huenda asivumilie mpaka wakati huo au akabebwa na wengine!

Nitaheshimu Ushauri wa Kila mmoja
 
Piga kitabu hicho engineer

Mtoto wa kike wa kishua kukupenda wewe si tatizo mkuu labda wewe ndio ungekuwa una force king
 
Reactions: THT
Piga kitabu hicho engineer

Mtoto wa kike wa kishua kukupenda wewe si tatizo mkuu labda wewe ndio ungekuwa una force king
Mkuu demu kanipenda ase adi kanipa bikira ila mm bado kama nna hofu asee
 
Mkuu mimi nakushauri usome kwanza, naujua mziki wa Civil Engineering si mchezo
 
Mkuu mimi nakushauri usome kwanza, naujua mziki wa Civil Engineering si mchezo
Fact mkuu ila mkuu najiandaa kuwa na mchumba maana kuna rafiki angu engineer adi anamaliza chuo hakuwahi kusetle na demu yaani yeye ni pata poteaa ani hit and run sasa kapata kazi ila hana background nzuri na demu yeyote sasa anahustle kutafta mchumba na ana karibia 30 yrs
 
Fact man nimejikuta sijiamini akati sio kawaida
Chukulia mapenz Kama ziada kwenye maisha yako. Bado Mdogo sana unatakiwa kutengeneza life from now, mapenz yapo tu soma kwanza. There's a lot of qute chicks out there!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…