Huyu binti ana laana?

Wewe
Ndio una laana mzeebaba yaani hapo upo njiapanda
 
Kuna mawili,
1. Anajiuza na Hana cha kupoteza, Ushaunganishwa gridi ya taifa
2. Huyo mwanamke anakufahamu in&out na anakupenda Sana.
HIV ipo tofaut sana na jinsi mnavyofikiria
 
 
Humu ndani kila mtu machinoo, kila mjuba ana drive😁
 
.
Unauza mechi kizembe sana halafu unajiona mwamba.
.
Ukimwi upo mzee, be careful.
 
Ila we hujishangaii ulivyo unamshangaa yeye??
 
Siku ukikua utayakana haya, ndo wale ambao huuliza namna ya kufuta threads walizozianzisha wao wenyewe pindi hawajapevuka
 
Kwa nini umetafsiri kwa huyo Dada kama ana laana na si wewe?
 
ushamba mzigo. Mwenzio alikua kazini na malipo haukusumbua kutoa
 
Safi kabisa.Umekidhi viwango.Utasomeshwa kwa ufadhili wa mfuko wa elimu wa mama Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…