Huyu binti ana laana?

Haya hongera. We ni shujaa
 
Umekutana na JINI DARLING !! Get prepared for the worse..... !!!!!
 
Kosa ulilofanya kuifungulia uzi.

Ungeipeleka kule kwenye uzi wetu pendwa wa author rikiboy uzi wa kula tunda kimasihara ingependeza zaidi
 
Eeeeeeh
 
Duh watu awaogopi magonjwa kabsa yan unaokota demu tu mtaani unaenda kumla hatar sana aiseee
 
Ila pia kwanini ukitembea na mwamke bila mambo mengi unaanza kumchukulia tofauti kwanini wewe usichukuliwe tofauti. Na wao wana hisia na wanapenda so kama na yy alitaka mchezo na ww je?
 
huyu alitegemea kumla huyo manzi, na huyo manzi alitegemea kuliwa, kifupi walikubaliana so uzi haujakidhi vigezo vya rikiboy.

CONLUSION: Amepata ngoma kimasihara.
Ya jamaa imekaa kimasihara maana kamwokota tu njiani mpaka kaenda kumla. Soma vizuri
 
RIP UTOPOLO, MWENDO UMEUMALIZA KIZEMBE SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…