Financial Freedom
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 1,250
- 2,314
Huyo hakika angenifaa sana...Habari zenu wapenzi wa MMU..
Niko kwenye mahusiano na mdada mmoja hivi takribani mwaka mmoja,tunapendana sana na tumeshavunja amri ya 6 kama wapenzi wenye malengo.Mimi na huyu mpenzi wangu hatuishi karibu japo wote tupo Dsm,tatizo huyu mwenzangu kwenye ishu ya mawasiliano ni mzito sana tunaweza kaa siku tatu bila kuwasiliana nisipomtafuta mimi...nilishawahi kukaa nae chini na kumhoji nini shida mpaka anakuwa mzito kunijulia hali mimi kama mpenzi wake na muda wa maongezi anao,mitandao ya kijamii namuona yuko online but hanitafuti akadai atajirekebisha ila hamna chochote alichojirekebisha japo wote tuko busy but mimi natenga muda namtafuta kwanini yeye hanipi kipaumbele katika maisha yake....niko njia panda kufanya maamuzi magumu,ushauri wenu tafadhali ila nikiwa nae karibu napewa kila kitu nikitakacho but kama mke bila mawasiliano mazuri na mumewe ni mbayaa baadae
Hahah...kwanin? kama demu ni mzuri ila kama mke ni changamoto sana,mawasiliano ni nguzo ya mapenziHuyo hakika angenifaa sana...
Ki ukweli hajawahi niomba hela zaidi ya chakula tukiwa mtoko na mimi labda kumuachia hela nikijisikia....mpitaji anapewa sex full kujiachiaAnakuona mpitaji
Hapo sijahakikisha vizuri still namfanyia uchunguziMko wengi hapo kiongozi
mahusiano lazima yawe na sheria na misngi amabayo lazima ifuatwe moja wapo ni hio mpenzi wako lazima ajue uko wapi unafanya nini na nani...ndio maana wengi wetu mahusiano yanatushinda tunapenda mapenzi ila hatuoneshi kama tunahitaji mapenzi...mapenzi ni kushirikiana mfanyie mwenzio kile ambacho unapenda kufanyiwa....mfano huyo jamaa unayesema unampenda ila kumtafuta ndio shida keshakugundua na ana kidemu chake huko kinacho mjali na kufurahisha kwa vile wewe kesha kusoma anakutafuta siku ambazo anahitaji gameHivi ukiwa mzito kimawasiliano ndio haumpendi mpenzio?
Mimi mbona nampenda mwanaume wangu ila kumtafuta sasa hua mtiahni
Anakupenda kwenye sex tu, Hana future na weweKi ukweli hajawahi niomba hela zaidi ya chakula tukiwa mtoko na mimi labda kumuachia hela nikijisikia....mpitaji anapewa sex full kujiachia
Mawasiliano ni ishara kuwa kuna upendo kati yenu....kama hamna ni shida sanaHivi ukiwa mzito kimawasiliano ndio haumpendi mpenzio?
Mimi mbona nampenda mwanaume wangu ila kumtafuta sasa hua mtiahni
Niko makini sana...sema mchezo siuelewi sijui nimrudishie mpira kipaUnatimbewa fala wewe.....shituka
mahusiano lazima yawe na sheria na misngi amabayo lazima ifuatwe moja wapo ni hio mpenzi wako lazima ajue uko wapi unafanya nini na nani...ndio maana wengi wetu mahusiano yanatushinda tunapenda mapenzi ila hatuoneshi kama tunahitaji mapenzi...mapenzi ni kushirikiana mfanyie mwenzio kile ambacho unapenda kufanyiwa....mfano huyo jamaa unayesema unampenda ila kumtafuta ndio shida keshakugundua na ana kidemu chake huko kinacho mjali na kufurahisha kwa vile wewe kesha kusoma anakutafuta siku ambazo anahitaji game